Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

IVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.
IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda wa miezi tisa kisha mwanamke atajifungua kawaida.

IVF haihusishi kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume bali mwanaume anatoa mbegu kwa kujichua au punyeto na mwanamke anatolewa yai lililopevuka maabara na wataalamu baada ya hapo ndio ujauzito unapandikizwa kwa mwanamke,
Ni njia safi na salama na haihusishi operation kubwa na haina hatari yeyote kwa mwanamke.

Sasa anahitajika mwanamke au msichana katika zoezi hilo,

MALIPO
Moja malipo ni milioni 25 ambayo yatasainiwa kisheria mahakamani na ustawi wa jamii.
Pili kila mwezi atalipwa milioni moja kama malipo ya motisha kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito, malipo hayo ni nje ya ile milioni 25.
Tatu kila siku atalipwa elfu ishirini kama gharama ya chakula kulea mimba kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito.
Nne atalipwa shilingi elfu hamsini kila siku kama gharama ya chakula baada ya kujifungua kwa mda wa mwaka mmoja kipindi ananyonyesha.
Tano gharama zote za hospital kwa mama kipindi cha ujauzito, mama na mtoto baada ya kujifungua zitagharamiwa na baba wa mtoto/watoto

MASHARTI
Moja ujauzito utalelewa sehemu aliyopo baba wa watoto.
Mbili hauruhusiwi kisheria kutangaza kwa mtu yeyote kama una ujauzito labda wazazi wako tu, na wazazi wakiambiwa nao wataelimisha kuhusu hili sharti.
Tatu baada ya kujifungua, mtoto/watoto wakifikisha mwaka mmoja utawakabidhi kwa baba yao.
Nne baada ya kukabidhi mtoto/watoto hautoruhusiwa kisheria na kibinadam wewe ndugu zako au rafiki zako kuwaona mtoto/watoto kwa namna yeyote kipindi chote cha maisha yenu hapa duniani.
Tano hautoruhusiwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote na baba wa watoto kabla na baada ya kujifungua mtoto/watoto.
Sita awe tayari kulea ujauzito akiwa jijini dar es salaam.

SIFA ZA MWANAMKE/MSICHANA ANAEHITAJIKA.
Moja awe na afya nzuri, asiwe na magonjwa ya akili, pili asiwe na magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Pili awe mtanzania kutoka kabila na dini yeyote.
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.

Asanteni.
Pia kwa mwana Jamii Forum mwenye ndugu, rafiki au jirani mwenye hizo sifa naomba mnisaidie kusambaza hili tangazo.
Asante tena.

Vigezo na masharti kuzingatiwa

Only wealthy gay men would use this kind of extreme measure to have their genes passed on through surrogate pregnancies.
 
My dearest buddy, huto tumilioni natutamani, natamani kama vingekosea njia viingie kwenye account ya binti yako wa kwanza..!!

Ningekununulia kwanza ka baby walker kabla ya yote..!!😂😂

Malengo uliyonayo juu yangu kama ungezipata hizo fedha yamenigusa sana my lovely daughter, ila njia ambayo ungepitia ili uzipate isingenifurahisha (kama ningejua)😄.

We have our means, tutapata zaidi ya baby walker we subiri uone❤️❤️
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwahyo kipengele hicho kinaonesha impossible future tense ya jambo kukamilika
 
Hujasema ni nani ata-donate hilo yai? Ni mwanamke mwingine au mbeba ujauzito? In which case, kwanini usimpe ujauzito naturally? Then mwache akulele mwanao maisha yote, we unahudumia tu?
 
Hujasema ni nani ata-donate hilo yai? Ni mwanamke mwingine au mbeba ujauzito? In which case, kwanini usimpe ujauzito naturally? Then mwache akulele mwanao maisha yote, we unahudumia tu?
Atakaetoa yai ni mwanamke atakaebeba ujauzito, ila pia inawezekana yai akatoa mwanamke mwingine.
Kuhusu ujauzito naturally n.k natambua na naheshimu hiyo njia, ila kutokana na sababu ambazo siwezi kuzieleza sitotumia njia naturally.
Hivyo naomba tuelekeze mawazo kama tangazo linavyosema.
 
Kwani we unaelewaje ugonjwa wa akili! Sio hadi uvue nguo
Pia watu wengi kufanya kitu haimaanishi ni sawa, unahitaji mfano?
Ni kama sperm donors wanaouza sperms kwenye sperm banks we unaona ni sawa? Unaona huna hela unaenda kupiga puli unauza mbegu.
Mwishowe mtoto anazaliwa kwa lesbian couples baadaye anahangaika kumtafuta baba yake halafu wanajikuta wako watoto 30+ wa huyo sperm donor, hii nimeona documentary

Kizazi cha ajabu sana kinakuja, kila kitu hoves
Basi tuna uelewa tofauti wa ugonjwa wa akili mkuu!!
Hao uliotaja sijaona kama wana ugonjwa wa akili. Mtu kua na mtazamo tofauti na wako/wenu ndio uuite ugonjwa wa akili??

Mwizi ni mgonjwa wa akili?? Fisadi ni mgonjwa wa akili?? Wote hao hawatembei uchi lakini matendo yao yanaleta madhara kwa wengine( na huenda wao wanaona wanachofanya ni sawa na ni haki kwao).

Ni mitizamo tu ndgu yangu, kama unaona si sawa basi usifanye na kemea kwa nafasi yako. Kama unaona ni sawa fanya tu.
 
Atakaetoa yai ni mwanamke atakaebeba ujauzito, ila pia inawezekana yai akatoa mwanamke mwingine.
Kuhusu ujauzito naturally n.k natambua na naheshimu hiyo njia, ila kutokana na sababu ambazo siwezi kuzieleza sitotumia njia naturally.
Hivyo naomba tuelekeze mawazo kama tangazo linavyosema.
Aisee, daah, sawa bhana. Daah, pesa nyingi sana hiyo. Umenifanya nimeheshimu sana aliyeniletea dume mwingine hapa majuzi, daa..
 
Asante kwa huo ufafanuzi inasaidia sana baadhi ya watu kuelewa namna mambo yanavyoenda kisheria,
hili jambo ni la kawaida ila kuna watu wanalifikiria kihisia sana, pia hili ni jambo la hiari sio lazima hivyo ukijiridhisha kwamba unaweza kufanya ndio unakaribishwa.
Watu wanatakiwa kujua hata hospital ya Taifa Muhimbili wameanza kufanya IVF, na Rais Samia alishatolea taarifa hilo jambo hivyo, swala la sheria za IVF linawezwa kufanyika pia Tanzania
Asante mkuu
Kila kitu unaposaini hapo unakuwa binding contract na ukikiuka sheria itakubana

Wataelewa ingawa wengi hawafuatilii sana mambo mengi
 
Unanunua mtoto kwa karibu milioni 60 unamtunza mpaka anafikia miaka 18 let say kwa milioni 60 nyingine halafu unamuuza kwenye black market kwa wanao harvest organs kwa milioni 600. Bonge la faida.. Mjini njoo na akili tu vingine vyote vitakuja vyenyewe
Sasa gharama zote za nini si ubebe tu wanaolala nje
 
Asante sana kwa maoni, ila hayo ni mawazo yako binafsi.
Kwenye kurutubisha yai lazima mbegu zangu zihusike kurutubisha yai la huyo mwanamke atakae kua tayari, hivyo huyo mtoto ni damu yangu.
Duuuh[emoji848]

Hivi we jamaa uko sawa kweli

Kuna kitu nadoubt[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Malengo uliyonayo juu yangu kama ungezipata hizo fedha yamenigusa sana my lovely daughter, ila njia ambayo ungepitia ili uzipate isingenifurahisha (kama ningejua)😄.

We have our means, tutapata zaidi ya baby walker we subiri uone❤️❤️
A huge Amen to that my daddy...!!🙏
We all do praying for the best always..!!
Umeshajiandaa na sikukuu natumaini, sivyo..??
 
Tunapenda maoni na ushauri ndugu,
ila usimtuhumu mtu usiyemjua vitu vya uongo na uzushi kwa hisia zako binafsi.
Hilo jambo nilishakwambia ni hiari sio lazima sasa sioni sababu ya wewe kuendelea kuandika vitu visivyo na ukweli kwa hisia zako binafsi.
Hayo mambo ya upinde, mke n.k hayana mahusiano na hili tangazo.
Kama kukosoa ni vizuri ukakosoa jambo la IVF general kama lina kasoro, ila sio unafanya personal attack kwa kashfa na uzushi kwa mtu ambaye humfahamu na haujawai kumuona pia hajakuomba msaada wowote.
Mkuu umeleta uzi wako so tegemea kuulizwa maswali mengi....ungekuwa hutaki maswali ungeita watu pm uwaelezee hilo tatizo lako

Nashangaa unakuwa mkali[emoji848]
 
Nimekuja kuuliza hili swali pia

Manake imesemekana wanawake wenyewe wa Jf ni cheap tunajishaua kwenye comments
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]

Maniner wanaume wa jf wana dharau sana
 
Back
Top Bottom