Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu njaa ...mkuu njaa zinatoa watu fahamu
We mwanamke unikome,njaa anayo mamaako , km kizaz chako ulikaangia chips utajiju, naona unashoboka sana na huu uzi, kudandia dandia comments ambazo ni negative,it seems deep inside hii kaz unaitaka ila ndio hivyo vigezo huna.depe tupu acha zako kelele,. pole ,maamuzi ya watu yanakutoa povu ,fata maisha yako . Bila shaka utakuwa zile mbegu fupi,ndo huwa zina shobo sana na maisha ya watu,hasa za jinsia ke.
 
Hahaha
Umetukana umepata amani. Haya sasa
Changamkia fursa mkuu...
 
Atakaetoa yai ni mwanamke atakaebeba ujauzito, ila pia inawezekana yai akatoa mwanamke mwingine.
Kuhusu ujauzito naturally n.k natambua na naheshimu hiyo njia, ila kutokana na sababu ambazo siwezi kuzieleza sitotumia njia naturally.
Hivyo naomba tuelekeze mawazo kama tangazo linavyosema.
Kumbe bado hujapata tu,
Mimi nahitaji Mtoto pia sasa tufanye hivi tupandikize Mapacha mmoja uchukue wewe mwengine nichukue mimi hizo pesa sina shida nazo,

Deal.....?
 
Kumbe bado hujapata tu,
Mimi nahitaji Mtoto pia sasa tufanye hivi tupandikize Mapacha mmoja uchukue wewe mwengine nichukue mimi hizo pesa sina shida nazo,

Deal.....?
Hili wazo jipya ndugu, nimetafakari sana na kufurahi kwa ujasiri wako.
Ila kwa kifupi haitowezekana kwa sababu tayari mtoto atakua damu yangu hivyo inaweza kuleta sintofahamu baada ya miaka.
Ninaweza kukupa wazo kwamba kama una sifa nilizotaja, fanya kwanza mpango wangu halafu badae mimi nitakusaidia kulipia gharama kufanya IVF kupata watoto wewe na mbegu za mtu mwigine.
 
Back
Top Bottom