Aseee [emoji848][emoji848]Hili wazo jipya ndugu, nimetafakari sana na kufurahi kwa ujasiri wako.
Ila kwa kifupi haitowezekana kwa sababu tayari mtoto atakua damu yangu hivyo inaweza kuleta sintofahamu baada ya miaka.
Ninaweza kukupa wazo kwamba kama una sifa nilizotaja, fanya kwanza mpango wangu halafu badae mimi nitakusaidia kulipia gharama kufanya IVF kupata watoto wewe na mbegu za mtu mwigine.
Utapata wengi tu. Hio naamini.Asante kwa maoni ndugu
Ila naomba ujue kwamba si kila mtu duniani anaamini dini na utamaduni.
Watu wengine wanaamini katika Technolojia kama suluhisho la matatizo yao
Sasa kama ana mke ambaye both tumbo la uzazi na ovaries zimeharibika. Afanye nini apate mtoto bila ya kutembea nje ya ndoa? Hujui hapa amemheshimisha sana mkewe?Basi ww utakuwa dalali,kama huelewi hata ninacho kieleza.
Swali jepesi tu kwanini utumie ivf kupqta mtoto?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi huna pesa? Acha chuki kwa mashoga na wasagaji lol.Pia njia hii hutumiwa vibaya na mapunga na wasagaji, ili kujipatia mtoto wanatumia hzi njia, IVF, Surrogacy, AI etc
labda uje tusaidiane kupika, tukimaliza tule tulale hadi kuamka jumanne 😁😁😁Sio out, nyumbani kula pilau.
Nini maana ya kuwa na mke zaidi ya mmojaSasa kama ana mke ambaye both tumbo la uzazi na ovaries zimeharibika. Afanye nini apate mtoto bila ya kutembea nje ya ndoa? Hujui hapa amemheshimisha sana mkewe?
Lakini kama situation ni hii, better option ni kwamba angemwomba shemeji yake wa kike a donate yai halafu apate surrogate mother abebe mimba. Mkewe angemtunza mtoto kwa mapenzi kama wake.
Naomba tuwasiliane kama bado hamjapataIVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.
IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda wa miezi tisa kisha mwanamke atajifungua kawaida.
IVF haihusishi kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume bali mwanaume anatoa mbegu kwa kujichua au punyeto na mwanamke anatolewa yai lililopevuka maabara na wataalamu baada ya hapo ndio ujauzito unapandikizwa kwa mwanamke,
Ni njia safi na salama na haihusishi operation kubwa na haina hatari yeyote kwa mwanamke.
Sasa anahitajika mwanamke au msichana katika zoezi hilo,
MALIPO
Moja malipo ni milioni 25 ambayo yatasainiwa kisheria mahakamani na ustawi wa jamii.
Pili kila mwezi atalipwa milioni moja kama malipo ya motisha kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito, malipo hayo ni nje ya ile milioni 25.
Tatu kila siku atalipwa elfu ishirini kama gharama ya chakula kulea mimba kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito.
Nne atalipwa shilingi elfu hamsini kila siku kama gharama ya chakula baada ya kujifungua kwa mda wa mwaka mmoja kipindi ananyonyesha.
Tano gharama zote za hospital kwa mama kipindi cha ujauzito, mama na mtoto baada ya kujifungua zitagharamiwa na baba wa mtoto/watoto
MASHARTI
Moja ujauzito utalelewa sehemu aliyopo baba wa watoto.
Mbili hauruhusiwi kisheria kutangaza kwa mtu yeyote kama una ujauzito labda wazazi wako tu, na wazazi wakiambiwa nao wataelimisha kuhusu hili sharti.
Tatu baada ya kujifungua, mtoto/watoto wakifikisha mwaka mmoja utawakabidhi kwa baba yao.
Nne baada ya kukabidhi mtoto/watoto hautoruhusiwa kisheria na kibinadam wewe ndugu zako au rafiki zako kuwaona mtoto/watoto kwa namna yeyote kipindi chote cha maisha yenu hapa duniani.
Tano hautoruhusiwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote na baba wa watoto kabla na baada ya kujifungua mtoto/watoto.
Sita awe tayari kulea ujauzito akiwa jijini dar es salaam.
SIFA ZA MWANAMKE/MSICHANA ANAEHITAJIKA.
Moja awe na afya nzuri, asiwe na magonjwa ya akili, pili asiwe na magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Pili awe mtanzania kutoka kabila na dini yeyote.
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.
Asanteni.
Pia kwa mwana Jamii Forum mwenye ndugu, rafiki au jirani mwenye hizo sifa naomba mnisaidie kusambaza hili tangazo.
Asante tena.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Ulimpata mtu tayari ?Asante sana ndugu kwa hizo link, ingawa tayari kuna watu kadhaa wameshajitokeza.
Dunia ina mambo, mkumbuke kuna sacrifice,Mimi mlongo honestly nimewazaa nimejikuta navaa viatu vyake nimetumia mnoooo...Lau ningeweza ningemzalia tu!!!inauma jamanii
Hivi mnashindwa kuelewa kinachotafutwa hapo hasa ni nini?Umenichekesha sana, kwako itakua ngumu sababu ni damu yako lakini yai langu litakua rahisi kukuachia sababu...sio damu yangu au?
Haya siku ukiwa tayari utanicheki msimamo wangu utaendelea kua huo.
Na kweli Nia ya mleta mada inaonekana wazi sio njema kabisa kwa mujibu wa haya Masharti yake sio poaWatoto wachanga ni chakula Bora kwa waabudu shetani
Pamoja na hayo Kuna ushetani ndani yake huwezi kugeuza mtoto kuwa kama mbuzi nna shaka na usalama wa mtoto atakaezaliwa kutokana na Masharti yako kwa Nini Mama asimuone mtoto Tena maisha yake yote?unataka uwafanye Nini hao watoto?acheni mambo yenu ya kimasonic uchwara hapa bongoAsante kwa maono hayo, ila kwenye tangazo nimeandika kwamba makubaliano yatasainiwa mahakamani na ustawi wa jamii ili kuepusha mtazamo wa aina hiyo
Kwani ulikua unaishi kwa kutegemea dili hili tu? we hukuaga na mipangoShida haziishi mkuu
Haya kesho hyo M50+ imeisha atauza nini tena...
Shida zisitutoe utu
Unajua hapo ameona Mama akiruhusiwa kumuona Mtoto ni tatizo pengine ataanza kumnangania Mtoto na Hela ameshalipwa, atatoa Siri , yapo mambo mengi kama binadamu atayanfa tofauti.Pamoja na hayo Kuna ushetani ndani yake huwezi kugeuza mtoto kuwa kama mbuzi nna shaka na usalama wa mtoto atakaezaliwa kutokana na Masharti yako kwa Nini Mama asimuone mtoto Tena maisha yake yote?unataka uwafanye Nini hao watoto?acheni mambo yenu ya kimasonic uchwara hapa bongo