mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
- Thread starter
- #501
Unataka nikueleweshe nini ndugu?Jibu lipo wapi hapo?
Hatubishani tunaeleweshana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka nikueleweshe nini ndugu?Jibu lipo wapi hapo?
Hatubishani tunaeleweshana
Mim huwez nielewesha,utanielewesha nini?Unataka nikueleweshe nini ndugu?
Asante kwa maoni,Mim huwez nielewesha,utanielewesha nini?
Nimekuuliza mtoto akikuuliza mama yuko wapi utamjibu nini?
Bilioni mia tano.. Teh teh...Mh hapana kwa kweli..nilee mtoto mwaka afu nitenganishwe nae,hata kama ingekuwa billion miatano
Hahaha kwani nyie hamtakua muoe na kuolewa? Hahah kweli kila mtu atumie chakeHuu msemo umenikumbusha mbali.. Mazaa alipenda kutuambia hivi ni baada ya maneno kua mengi kutoka kwa ndugu zake kua anazaa hovyo kwetu tupo 7 tumebaba kwenye kijumba chetu hadi tumekua.
Aunt aliokua anasema hivi yeye alizaa watoto 2 tu (sasa wote wameshaolew) yupo mkiwa na jumba lake hata housegirls hawadumu... anamsumbua maza kila siku ampe mdogo wangu mmoja wa kike akae nae mimi na bro hatutaki sikia hiyo habari TAJIRI NA MALI ZAKE MASIKINI NA WANAE.
Huu ni utoto sasaAsante kwa maoni,
Nimekujibu kwamba sio watoto wote duniani wamepata malezi kwa baba na mama.
Pia hao watoto wameweza kukua kwa furaha na afya pengine kuliko wale waliolelewa na wazazi wote wawili.
Asante kwa maoni ndugu, ila huo ni mtazamo wako.Huu ni utoto sasa
Endeleeni kujificha ila ukweli tunaujua,mnajua hamwezi kupata watoto sasa mmeibukia kwny ivf ili nanyi muonekane mnawatoto lakini ukweli unafahamia mnakazwa.
Mkuu kwetu hapajawahi kuisha watu nyumba ni ndogo lakn hijawahi kujaa... kuna housgirl maza alimtaftia akakaa miezi miwili akashindwa... lkn alirudi kukaa kwetu pale 2years bila malipoHahaha kwani nyie hamtakua muoe na kuolewa? Hahah kweli kila mtu atumie chake
Wadada akili zao saa ingine hazielewekiMkuu kwetu hapajawahi kuisha watu nyumba ni ndogo lakn hijawahi kujaa... kuna housgirl maza alimtaftia akakaa miezi miwili akashindwa... lkn alirudi kukaa kwetu pale 2years bila malipo
Unafurahisha sana wewe mdadaKama hana mb.oroo je? I mean anamiliki kinuktaa hakifiki hata kwenye mashavu ya k[emoji848]
Asante kwa ushauri mzuri ndugu,Umekosea kusema akae nae kwa Mwaka mmoja,
Wenzio hua wanawachukua mara baada ya kujifungua yaani wakati mtoto anatoka unatakiwa uwe pembeni unampokea kutoka kwa madaktari na sio yeye ili kuondoa ile bond ya Mama na Mtoto, hiyo ndio maana ya Surrogate Mother.
Naam,Asante kwa ushauri mzuri ndugu,
Hili jambo bado halijatekelezwa hivyo nitazingatia kila ushauri mzuri ili niweze kufanya jambo lililo bora zaidi.
Asante sana kwa ushauri mzuri ndugu,Kuna mwamba anaitwa Dennis kama nsikosee yeye alifanikisha hii njia alitumia around 70M... sabab zake zilikua nyepesi kwa mtazamo wangu.
mkuu mitindo huru hujaweka bayana sababu zako huenda ni usiri kwa mambo binafsi au ni swala la kifamilia ( nikimaanisha makubaliano kati ya wewe na mke wako)
Je umajaribu njia nyingine zote na hii ni chaguo la mwisho kwako ? KAMA NDIO NIKUTAKIE KILA JEMA KUPATA HITAJI LAKO KWANI WATOTO/MTOTO NI SEHEMU YA FURAHA
Kwa ishu ya surrogate yeye pia kua ndo mtoa yai.. ungetafuta mtoa yai mwingine surrogate abebe tu kwani sharti la mama kutengana na mtoto baada ya mwaka ni gumu mno.
Asante sana kwa ushauri, nitazingatia pia nikiwashirikisha wataalamu wa afya.Naam,
Hapo ni kumwambia Mama awe anakamua maziwa kwa miezi mitatu ili Mtoto apate lishe bora ila hawaonani wala hamnyonyeshi baada ya hapo Mtoto ataendelea na virutubisho vingine,
Lakini kuwakutanisha ni mbaya mnoo haifai.
Aitwaaaa Surrogate!!IVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.
IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda wa miezi tisa kisha mwanamke atajifungua kawaida.
IVF haihusishi kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume bali mwanaume anatoa mbegu kwa kujichua au punyeto na mwanamke anatolewa yai lililopevuka maabara na wataalamu baada ya hapo ndio ujauzito unapandikizwa kwa mwanamke,
Ni njia safi na salama na haihusishi operation kubwa na haina hatari yeyote kwa mwanamke.
Sasa anahitajika mwanamke au msichana katika zoezi hilo,
MALIPO
Moja malipo ni milioni 25 ambayo yatasainiwa kisheria mahakamani na ustawi wa jamii.
Pili kila mwezi atalipwa milioni moja kama malipo ya motisha kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito, malipo hayo ni nje ya ile milioni 25.
Tatu kila siku atalipwa elfu ishirini kama gharama ya chakula kulea mimba kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito.
Nne atalipwa shilingi elfu hamsini kila siku kama gharama ya chakula baada ya kujifungua kwa mda wa mwaka mmoja kipindi ananyonyesha.
Tano gharama zote za hospital kwa mama kipindi cha ujauzito, mama na mtoto baada ya kujifungua zitagharamiwa na baba wa mtoto/watoto
MASHARTI
Moja ujauzito utalelewa sehemu aliyopo baba wa watoto.
Mbili hauruhusiwi kisheria kutangaza kwa mtu yeyote kama una ujauzito labda wazazi wako tu, na wazazi wakiambiwa nao wataelimisha kuhusu hili sharti.
Tatu baada ya kujifungua, mtoto/watoto wakifikisha mwaka mmoja utawakabidhi kwa baba yao.
Nne baada ya kukabidhi mtoto/watoto hautoruhusiwa kisheria na kibinadam wewe ndugu zako au rafiki zako kuwaona mtoto/watoto kwa namna yeyote kipindi chote cha maisha yenu hapa duniani.
Tano hautoruhusiwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote na baba wa watoto kabla na baada ya kujifungua mtoto/watoto.
Sita awe tayari kulea ujauzito akiwa jijini dar es salaam.
SIFA ZA MWANAMKE/MSICHANA ANAEHITAJIKA.
Moja awe na afya nzuri, asiwe na magonjwa ya akili, pili asiwe na magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Pili awe mtanzania kutoka kabila na dini yeyote.
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.
Asanteni.
Pia kwa mwana Jamii Forum mwenye ndugu, rafiki au jirani mwenye hizo sifa naomba mnisaidie kusambaza hili tangazo.
Asante tena.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Ahaaa hakuna kitu hapo hata hiyo 25 hawezi mpa, wanaume wa bongo akili zao mnajua wenyewe. .mimi hapanaUtakua Uko vizuri. Hiyo offer Mbona kubwa sana kibongo bongo