Anahitajika mtaalam wa kuchambua siasa za kimataifa

Anahitajika mtaalam wa kuchambua siasa za kimataifa

Utampata wapi kijana mjuvi wa siasa za kimataifa? Vijana wametekwa na mpira labda ungetaka wachambuzi wa mpira ungepata wengi sana, tena mitaani kwenye vijiwe vya magazeti hasa ya michezo ukurasa wa mwisho husoma huko na kuchambua hasahasa simba na yanga
 
Kwenye vijiwe vya magazeti huwa wanakataza kuchambua habari za kisiasa, wanataka uchambuzi wa soka tu na ushabiki wa simba na yanga. Pale huja watu fulani kitisho hawajulikani wanafanya kazi gani wapuuzi wale, wanakakaza habari za siasa zichambuliwe kwenye vijiwe vya magazeti. Wanataka usome kimyakimya vichwa vya habari ila habari za michezo ndio usome kwa sauti na uanzishe hoja ijadiliwe na ichambuliwe kishabiki hasa habari za simba na yanga ndio hujaza watu kwenye vijiwe vya magazeti
 
Kwenye vijiwe vya magazeti huwa wanakataza kuchambua habari za kisiasa, wanataka uchambuzi wa soka tu na ushabiki wa simba na yanga. Pale huja watu fulani kitisho hawajulikani wanafanya kazi gani wapuuzi wale, wanakakataza habari za siasa zichambuliwe kwenye vijiwe vya magazeti. Wanataka usome kimyakimya vichwa vya habari ila habari za michezo ndio usome kwa sauti na uanzishe hoja ijadiliwe na ichambuliwe kishabiki hasa habari za simba na yanga ndio hujaza watu kwenye vijiwe vya magazeti
 
Back
Top Bottom