Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Huyu tupo Rukwa,ila ni mzaliwa wa Mbeya!Mtafute Gwapo Mwakatobe ni member humu, ni mchambuzi mzoefu anaweza kukusaidia kukupatia mchambuzi nguli ka yeye
Huyu tupo Rukwa,ila ni mzaliwa wa Mbeya!Mtafute Gwapo Mwakatobe ni member humu, ni mchambuzi mzoefu anaweza kukusaidia kukupatia mchambuzi nguli ka yeye
Nadhani hajamtaja kijanaUtampata wapi kijana mjuvi wa siasa za kimataifa? Vijana wametekwa na mpira labda ungetaka wachambuzi wa mpira ungepata wengi sana, tena mitaani kwenye vijiwe vya magazeti hasa ya michezo ukurasa wa mwisho husoma huko na kuchambua hasahasa simba na yanga
Tupo mkuu,ila hatupo Mbeya!Walaji wa siasa za Kimataifa Mbeya watakaokupa income ya kumlipa huyo mtu wapo wapi?
Poti ajira Hivyo,Nakuaminia!Nadhani hajamtaja kijana
Tupo mkuu,ila hatupo Mbeya!
Sawasawa.Kama wapo then ni sahihi, wachambuzi wapo wazuri tu
sasa mtu mzima atampata wapi wakati nao ni walewale kama vijana?Nadhani hajamtaja kijana
Ahsante sana kwa kunitambua. Ila mtoa post hajafafanua zaidi. Kwa sisi tunaochambua kupitia vyombo vya habari vya kimataifa tuna misimamo yetu, hususan kutoegemea upande wowote. Hatuogopi kumkosoa yeyote na wala hatupendelei au kujikomba kwa yeyote yule!Mtafute Gwapo Mwakatobe ni member humu, ni mchambuzi mzoefu anaweza kukusaidia kukupatia mchambuzi nguli ka yeye
Atawapata tuu, Mbeya tunafani nyingi mkuu!sasa mtu mzima atampata wapi wakati nao ni walewale kama vijana?
Nakuaminia Sana .Ahsante sana kwa kunitambua. Ila mtoa post hajafafanua zaidi. Kwa sisi tunaochambua kupitia vyombo vya habari vya kimataifa tuna misimamo yetu, hususan kutoegemea upande wowote. Hatuogopi kumkosoa yeyote na wala hatupendelei au kujikomba kwa yeyote yule!
Rudi nyumbani, kumenoga.Ningekutafuta niwe napiga kama mishe ya pembeni bahati mbaya sipo Mbeya kwasasa
Ushauli makini! Labda yy atuambie kwann mtu awe wa Mbeya?👿Mimi ni mchambuzi Gwiji ila sharti la mbeya nadhani halina afya sana hususani katika kipindi hiki cha makuzi ya sayansi na teknolojia
Shukrani sana!yule ni wa dw, bbc na voa, ni mchambuzi wa siasa za kimataifa kwenye media kubwa za kimataifa hasa za kiswahili
Nitarudi mwezi wa 12 mapumziko kujipumzisha na mbalaga,kifuge,ikitugu,ingengele,amasimbi,mbatata,amajabu,ikinyangwa kudadeki full burudaniRudi nyumbani, kumenoga.
Momumo!Huyu tupo Rukwa,ila ni mzaliwa wa Mbeya!
Karibu Dodoma.Momumo!
Kumbe?!sasa mtu mzima atampata wapi wakati nao ni walewale kama vijana?
Ikisyesye,bhakasokela,amajabhu,Kumbeje kununua!Nitarudi mwezi wa 12 mapumziko kujipumzisha na mbalaga,kifuge,ikitugu,ingengele,amasimbi,mbatata,amajabu,ikinyangwa kudadeki full burudani
Huyu haijui Mbeya!Kumbe?!