Gwappo Mwakatobe
R I P
- Nov 22, 2019
- 1,796
- 2,345
Huwa nakuja mara kwa maraKaribu Dodoma.
Huwa nakuja mara kwa maraKaribu Dodoma.
Tutafutane mkuu ukija ,nipo Kisasa karibu na Verde view hotel.Huwa nakuja mara kwa mara
Hebu tupe kipande Cha hizo Sehemu zingine walivyochambua za kimataifa!Sawa kaka
🙏👍Tutafutane mkuu ukija ,nipo Kisasa karibu na Verde view hotel.
Uko sahihi, nakufatilia sana hasa DW ukiwa na nguli wenzio akina Abdul Fatah Mussa,Tumaini Mnale, Omar Mutasa etc, Pole sana kwa msiba wa Ahmed RajabAhsante sana kwa kunitambua. Ila mtoa post hajafafanua zaidi. Kwa sisi tunaochambua kupitia vyombo vya habari vya kimataifa tuna misimamo yetu, hususan kutoegemea upande wowote. Hatuogopi kumkosoa yeyote na wala hatupendelei au kujikomba kwa yeyote yule!
Shukrani sanaUko sahihi, nakufatilia sana hasa DW ukiwa na nguli wenzio akina Abdul Fatah Mussa,Tumaini Mnale, Omar Mutasa etc, Pole sana kwa msiba wa Ahmed Rajab
Hahaha 😂Bibie nenda katesti zali kama hujaolewa, kama umeolewa basi mwombe mumeo akuruhusu.
Kila la kheri.
Hivi mkuu Gwappo, Omar Mutasa na Alli Mutasa ni ndugu au ni majina ya mwisho yamefanana.Ahsante sana kwa kunitambua. Ila mtoa post hajafafanua zaidi. Kwa sisi tunaochambua kupitia vyombo vya habari vya kimataifa tuna misimamo yetu, hususan kutoegemea upande wowote. Hatuogopi kumkosoa yeyote na wala hatupendelei au kujikomba kwa yeyote yule!
Sina uhakika sana. Nitamuuliza tutakapokuwa pamoja wakati wa uchambuzi.Hivi mkuu Gwappo, Omar Mutasa na Alli Mutasa ni ndugu au ni majina ya mwisho yamefanana.
Ni hayo tu mkuu.
Okay 👍 mkuuSina uhakika sana. Nitamuuliza tutakapokuwa pamoja wakati wa uchambuzi.
Abdoul Fatah Musa namkubali sana na mwenzia Ibrahim Rahby..Uko sahihi, nakufatilia sana hasa DW ukiwa na nguli wenzio akina Abdul Fatah Mussa,Tumaini Mnale, Omar Mutasa etc, Pole sana kwa msiba wa Ahmed Rajab
Jamaa wako smart sana, hawachoshi kuwasikilizaAbdoul Fatah Musa namkubali sana na mwenzia Ibrahim Rahby..
Wengi wanataka uwe upande wa Iran maana ndo majinga mengi (Kobazi) yalipo so katika uchambuzi wako egemea hukoHii hela sasa nimeila kiulaini kabisa ,vipi si natakiwa nisiwe na upande wowote katika kujadili mada mbalimbali ?
Nicheki PM alafu wacha ninunue bando nianze kufuatilia ugomvi wa Trump na Shi ging ili chaneli yetu iende viral
safiWakuu habar zenu
Nahitaji mtalamu wa kuchambua siasa na habari za kimataifa ili tufanye kazi katika Chaneli ya youtube , malipo ni makubaliano
Sharti awe mkoa wa mbeya