Anahitajika mtaalam wa kuchambua siasa za kimataifa

Nadhani hajamtaja kijana
 
Mtafute Gwapo Mwakatobe ni member humu, ni mchambuzi mzoefu anaweza kukusaidia kukupatia mchambuzi nguli ka yeye
Ahsante sana kwa kunitambua. Ila mtoa post hajafafanua zaidi. Kwa sisi tunaochambua kupitia vyombo vya habari vya kimataifa tuna misimamo yetu, hususan kutoegemea upande wowote. Hatuogopi kumkosoa yeyote na wala hatupendelei au kujikomba kwa yeyote yule!
 
Nakuaminia Sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…