Anahitajika mtaalam wa kuchambua siasa za kimataifa

Uko sahihi, nakufatilia sana hasa DW ukiwa na nguli wenzio akina Abdul Fatah Mussa,Tumaini Mnale, Omar Mutasa etc, Pole sana kwa msiba wa Ahmed Rajab
 
Hivi mkuu Gwappo, Omar Mutasa na Alli Mutasa ni ndugu au ni majina ya mwisho yamefanana.

Ni hayo tu mkuu.
 
Uko sahihi, nakufatilia sana hasa DW ukiwa na nguli wenzio akina Abdul Fatah Mussa,Tumaini Mnale, Omar Mutasa etc, Pole sana kwa msiba wa Ahmed Rajab
Abdoul Fatah Musa namkubali sana na mwenzia Ibrahim Rahby..
 
Hii hela sasa nimeila kiulaini kabisa ,vipi si natakiwa nisiwe na upande wowote katika kujadili mada mbalimbali ?

Nicheki PM alafu wacha ninunue bando nianze kufuatilia ugomvi wa Trump na Shi ging ili chaneli yetu iende viral
Wengi wanataka uwe upande wa Iran maana ndo majinga mengi (Kobazi) yalipo so katika uchambuzi wako egemea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…