P Papai Yule Member Joined Jul 6, 2013 Posts 10 Reaction score 16 Mar 21, 2025 #1 Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo Mawasilino: 0657010002 au tuma CV mazingirapacha@gmail.com.
Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo Mawasilino: 0657010002 au tuma CV mazingirapacha@gmail.com.
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,205 Reaction score 54,699 Mar 21, 2025 #2 Kazi ya kukopesha mbona ni rahisi sana? Napita nikiwaomba wamama wanikope alafu siku ya kudai tunaenda wote 😁
Kazi ya kukopesha mbona ni rahisi sana? Napita nikiwaomba wamama wanikope alafu siku ya kudai tunaenda wote 😁
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Mar 21, 2025 #3 Shing Yui said: Kazi ya kukopesha mbona ni rahisi sana? Napita nikiwaomba wamama wanikope alafu siku ya kudai tunaenda wote 😁 Click to expand... Mchukue na mgambo kabisa 🥵
Shing Yui said: Kazi ya kukopesha mbona ni rahisi sana? Napita nikiwaomba wamama wanikope alafu siku ya kudai tunaenda wote 😁 Click to expand... Mchukue na mgambo kabisa 🥵
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,220 Mar 21, 2025 #4 Naomba na mie unikopeshe