Una mpango wakuongeza mtoto au unataka mwanaume wakuleana tuu na kuenjoy maisha?Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato
Mengine tutajuzana PM, karibu.
Njoo pm tuyajenge....upo mkoa ganiNahitaji mtu wa kufunga nae ndoa na kupokea baraka zote za ndoa ambazo ni pamoja na watoto.
Nataka mke, mm nina umri wa miaka 40 na mkristoHabari!