Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Ednatha

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
489
Reaction score
665
Habari!

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,

1. Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato

Mengine tutajuzana PM, karibu.
 
Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato

Mengine tutajuzana PM, karibu.
Una mpango wakuongeza mtoto au unataka mwanaume wakuleana tuu na kuenjoy maisha?
 
Kama Uko tayari kubadili dini ni pm nikuconnect na mtu Ana uhitaji sana na mtafurahia ndoa yenu na vigezo vya umri wake ni kama ulivyo hainisha hapo.
 
Kama Uko tayari kubadili dini ni pm nikuconnect na mtu Ana uhitaji sana na mtafurahia ndoa yenu na vigezo vya umri wake ni kama ulivyo hainisha hapo.
Hapana ndugu, siko tayari kubadili dini. Asante kwa kujali.
 
Kila la kheri..

Kuna mtu alikua anatafuta mke humu Yuko na 40 something hivi..embu nisaidie kumtag yule mwamba ili mwenzetu asimalize mwaka Bila ndoa
Asante kwa kujali my dear!
 
Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato

Mengine tutajuzana PM, karibu.
Nataka mke, mm nina umri wa miaka 40 na mkristo

Sifa za mke.
Awe na umriwa miaka 30 awe bikra
By Mamlaka
 
Back
Top Bottom