Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Nicheki pm tuyajenge
 
Mí níkσ nα 33, jє! nαruhuѕíwα?
 
Mimi nina sifa zote hizo,ila naomba tuonjane kwanza harafu ndiyo taratibu zingine zifuate.
 
Anahitajika mwanauume🤣
 
Samahani, Baba wa mtoto yuko wapi?

Mtoto ana umri gani?
 
watu naona toka juu wameuliza sana ila naona analipotezea kiaina kama halion vile we jarib kufuatilia toka juu kuna kitu utagundua
Samahani kama kuna wanaokwazika kwa kutokujibu hili swali, sikuona vyema kulijibu hapa, ila wanaokuja PM wanapewa majibu.
 
Ulishapata Au bado?
Kuna jamaa yangu anatafuta Mike, anasifa Kama hizo kasoro Ni mwislam
(Kama ubagui dini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…