Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato

Mengine tutajuzana PM, karibu.
njoo pm
 
38y kwanini umechelewa sana dada yangu? ona sasa unaokota watu hovyo mitandaoni
 
Back
Top Bottom