Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

Hiyo akikatwa take home ni kama 2.8 ml. Wala usishtuke sana ni kawaida tuu
2.8M unaona ni hela ya kitoto wabongo bana dah😂

Ukiangalia salary figures utaona almost 90% ya waajiriwa bongo hawaifikii take home ya hio figure! 30% kati yao wanakula mishahara ya vibarua tu ya 1M-1.2M then 60% wako 900K and below
 
Hiyo akikatwa take home ni kama 2.8 ml. Wala usishtuke sana ni kawaida tuu
Ni Daktari gani au Nesi gani kwenye serikali hii tukufu ya CCM anafikia 2.8M kwa mwezi? Kama starting salary??

Then makato ya kwenye diplomat ni mawili tu yaani NSSF na WCF.
Hayo mengine hawayagusi kwenye mshahara wako mf. Bima ya Afya watakulipia, mawasiliano utalipiwa n.k

U.S embassy bima zao za afya ni around 120M ambayo hata India unatibiwa fresh tu wewe na tegemezi wako 5.

Omba kazi kama una sifa
 
Huu ni uchochezi na uchonganishi ndugu yangu[emoji1787][emoji1787]
Hahahahah ulipwe million 4 huyo kijana dereva wa Tanesco atasalimika unadhani😅! Sindio mwendo wa kumpigisha deki na kumuoshesha vyombo kijana wa watu na kejeli za kila kona kwani muna jema basi?
 
Manesi wa Muhimbili hakuna anayevuta huo mpunga.

Halafu hiyo post ni permanent.
Hela ndefu sana hio huwezi compare na wale wa 1.2M Gross😅! Halafu utamu wa hela ya mzungu inaingia kwa wakati na shuruba sio nyingi ofisini. Likizo zako unakaa home unalipwa..Bima unalipiwa yani kama serikali watakata hela nyingi humo haizidi 500K.

Sasa 3.5M ndogo?
 
Back
Top Bottom