Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

Nesi mshahara 4m!manesi wenye hizo qualications wapo,swala ni je hiyo kazi anayokwenda kuifanya ataiweza...?
 
Hela ndefu sana hio huwezi compare na wale wa 1.2M Gross😅! Halafu utamu wa hela ya mzungu inaingia kwa wakati na shuruba sio nyingi ofisini. Likizo zako unakaa home unalipwa..Bima unalipiwa yani kama serikali watakata hela nyingi humo haizidi 500K.

Sasa 3.5M ndogo?
Sure....

Kichekesho ni hao wanaolipwa hivyo lakini bado kwenye vikao unakuta wanadai malipo zaidi.

Ila ndugu zetu wa Serikali tukufu ya CCm huwa hawaoni. Mtu analipwa 1.5M daktari (medical doctor) hivi uwizi wa dawa utakaa ukome?
 
Nesi mshahara 4m!manesi wenye hizo qualications wapo,swala ni je hiyo kazi anayokwenda kuifanya ataiweza...?
Ukipata kazi na ukakuta kazi wanayotaka ufanye huwezi watakufundisha, then utaangaliwa ndani ya Miezi 6.
Kama bado hujaweza watakufundisha tena, then wakupe tena Miezi 6.
Hapo kama bado huwezi wewe utakuwa sio mtu wa Kawaida.
 
Sure....

Kichekesho ni hao wanaolipwa hivyo lakini bado kwenye vikao unakuta wanadai malipo zaidi.

Ila ndugu zetu wa Serikali tukufu ya CCm huwa hawaoni. Mtu analipwa 1.5M daktari (medical doctor) hivi uwizi wa dawa utakaa ukome?
Unakomaje kwa mfano😅
 
Not less than 3.5M nje ya posho utakazo kutana nazo semina nights overtime n.k. accumulation per month inaweza kugota 5M to 6M.

Nyumba/kulipiwa nyumba karibia 70% au 100% kabisa ya pango
Mkuu unafanya kazi nchi gani?

Hiyo 4m less makato ya nchi hii inabaki huko huko 2.8m. Mimi sijafika kipato hicho lakini nakatwa kodi mpaka laki 6 kwa mwezi.

Sasa mshahara grosa ya mil 4 apokee net ya 3.5m yaani akatwe 500k tu? Labda kama sio Tanzania.
 
Mkuu tatizo unafikiri kila mshahara unakatwa Kodi kama huo wako.

Kuna wanaokatwa NSsf 10% na WCF 2-3% only hayo mengine hayapo.

So anayosema mdau hapo yanawezekana kabisa.
 
Back
Top Bottom