Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

Hahahahah ulipwe million 4 huyo kijana dereva wa Tanesco atasalimika unadhani[emoji28]! Sindio mwendo wa kumpigisha deki na kumuoshesha vyombo kijana wa watu na kejeli za kila kona kwani muna jema basi?
Mmmh! Wanawake wa sayari gani hao unawaongelea ndugu yangu?
 
Usikubali kukutwa!! Yaani mke akuzidi kipato, then awe mtii! Ni ngumu sana.
Sijui kwenye pesa kuna nini jombaa...

Kuna mshikaji wangu alimkopea mke wake mtaji kama wa 40M biashara ya mke ikakubali, dharau zilizoko sasa sio ndogo!!

Simply kwasababu mke aliweza kuclear lile deni, tena mwishoni hapo.

Jamaa anaendelea na ajira yake, ila hela ya mke ndani ni kubwa zaidi. Ila si mchezo.

Pesa Pesa Pesa....ni maroho mabaya sana.
Daah hao ndio wanawake bhana
 
Kwahiyo ikitokea kakuzid uachane nae au sio
 
2.8M unaona ni hela ya kitoto wabongo bana dah[emoji23]

Ukiangalia salary figures utaona almost 90% ya waajiriwa bongo hawaifikii take home ya hio figure! 30% kati yao wanakula mishahara ya vibarua tu ya 1M-1.2M then 60% wako 900K and below
Mzee bofya hyo link,, wameandka salary ni milion 49+ sio milion 4

Ndo nko naenda kumtukana boss hapa[emoji23] ntaleta mrejesho nikishapokea mshahara wangu wa mwez january mana milion 49 sio kitoto ujue[emoji3]
 
Million 49 kwa mwezi?😅
 
sawa ntakupa lakini niambie kwanza kwani wewe unaamini mtandao gani una kazi nyingi genuine ambao hata interview unapata
Mimi sielewi sijui labda sina zali maana kuna ajira portal watu wanapata. Kuna Sites zingine pia tu recruitment agencies watu wanapata. Kuna humo LinkedIn
 
Back
Top Bottom