2.8M unaona ni hela ya kitoto wabongo bana dah😂Hiyo akikatwa take home ni kama 2.8 ml. Wala usishtuke sana ni kawaida tuu
Ni Daktari gani au Nesi gani kwenye serikali hii tukufu ya CCM anafikia 2.8M kwa mwezi? Kama starting salary??Hiyo akikatwa take home ni kama 2.8 ml. Wala usishtuke sana ni kawaida tuu
Ni enzymes ya tabia mbaya.Pesa, Umaarufu na mamlaka huifunua tabia ya mtu. Humleta mtu halisi ambaye anaweza kuwa sie mliyemzoea!
So Pesa kwa kiasi kikubwa sio shida. Shida ni mwenye hela!
Pesa, Umaarufu na mamlaka huifunua tabia ya mtu. Humleta mtu halisi ambaye anaweza kuwa sie mliyemzoea!
So Pesa kwa kiasi kikubwa sio shida. Shida ni mwenye hela!
Pesa, Umaarufu na mamlaka huifunua tabia ya mtu. Humleta mtu halisi ambaye anaweza kuwa sie mliyemzoea!
So Pesa kwa kiasi kikubwa sio shida. Shida ni mwenye hela!
Bado , vipi nikimaliza nikucheki mkuu?Ulimaliza kusoma CPA? Au
Ubalozi wa Marekani, Tanzania wanahitaji Nesi.
Aliyessajiliwa, Mwenye uzoefu walau Miaka 2.
Kazi nzuri.
Kutuma Maombi fungua link hapa chini...
naona kama wamesema 49 m au ni 4.9mUbalozi wa Marekani, Tanzania wanahitaji Nesi.
Aliyessajiliwa, Mwenye uzoefu walau Miaka 2.
Kazi nzuri.
Kutuma Maombi fungua link hapa chini...
Duh kwahyo hata wale wajuba wa Heslb hawatii maguu?Then makato ya kwenye diplomat ni mawili tu yaani NSSF na WCF.
Hayo mengine hawayagusi kwenye mshahara wako
Una matatizo sana wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi nzuri haswaa! Hio pesa ya kuishi kiboss kabisa na kumtukana mume vizuri nyumbani[emoji28][emoji28][emoji28]
2.8M sio ndogo mzee ni hela nyingi kwa hiyo kada humu nchini kwetu.Hiyo akikatwa take home ni kama 2.8 ml. Wala usishtuke sana ni kawaida tuu
Ushawahi kupata kazi kupitia LinkedIn?Hivi kuna mtu alishawahi kupata kazi kupitia jamii forums? Mi naonaga kazi zipo linkedin uko
Au nasema uongo ndugu zangu😅Una matatizo sana wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ni uchochezi na uchonganishi ndugu yangu[emoji1787][emoji1787]Au nasema uongo ndugu zangu[emoji28]
Hahahahah ulipwe million 4 huyo kijana dereva wa Tanesco atasalimika unadhani😅! Sindio mwendo wa kumpigisha deki na kumuoshesha vyombo kijana wa watu na kejeli za kila kona kwani muna jema basi?Huu ni uchochezi na uchonganishi ndugu yangu[emoji1787][emoji1787]
Hela ndefu sana hio huwezi compare na wale wa 1.2M Gross😅! Halafu utamu wa hela ya mzungu inaingia kwa wakati na shuruba sio nyingi ofisini. Likizo zako unakaa home unalipwa..Bima unalipiwa yani kama serikali watakata hela nyingi humo haizidi 500K.Manesi wa Muhimbili hakuna anayevuta huo mpunga.
Halafu hiyo post ni permanent.