Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

Hahahahah ulipwe million 4 huyo kijana dereva wa Tanesco atasalimika unadhani[emoji28]! Sindio mwendo wa kumpigisha deki na kumuoshesha vyombo kijana wa watu na kejeli za kila kona kwani muna jema basi?
Mmmh! Wanawake wa sayari gani hao unawaongelea ndugu yangu?
 
Daah hao ndio wanawake bhana
 
Kwahiyo ikitokea kakuzid uachane nae au sio
 
2.8M unaona ni hela ya kitoto wabongo bana dah[emoji23]

Ukiangalia salary figures utaona almost 90% ya waajiriwa bongo hawaifikii take home ya hio figure! 30% kati yao wanakula mishahara ya vibarua tu ya 1M-1.2M then 60% wako 900K and below
Mzee bofya hyo link,, wameandka salary ni milion 49+ sio milion 4

Ndo nko naenda kumtukana boss hapa[emoji23] ntaleta mrejesho nikishapokea mshahara wangu wa mwez january mana milion 49 sio kitoto ujue[emoji3]
 
Mzee bofya hyo link,, wameandka salary ni milion 49+ sio milion 4

Ndo nko naenda kumtukana boss hapa[emoji23] ntaleta mrejesho nikishapokea mshahara wangu wa mwez january mana milion 49 sio kitoto ujue[emoji3]
Million 49 kwa mwezi?😅
 
sawa ntakupa lakini niambie kwanza kwani wewe unaamini mtandao gani una kazi nyingi genuine ambao hata interview unapata
Mimi sielewi sijui labda sina zali maana kuna ajira portal watu wanapata. Kuna Sites zingine pia tu recruitment agencies watu wanapata. Kuna humo LinkedIn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…