Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)

Niko nasoma hiki kitabu,story ni za miaka ya 1800's lakini zinaonesha Africa haijabadilika,kuna mtemi walifika eneo lake akaanza kupiga ngoma na kudai apewe sanda amzike mkwe,wakampa nguo kadhaa kauliza

Hii sio dhihaka kweli ? Yani nimefiwa na mke wangu alafu mnanipa hongo ndogo hivi
 
Nakipataje mkuu?
 
Marais wa Africa Ni wapuuzi Sana..Sasa wakipinduliwa ukoo mzima unapata tabu kama Gadafi..
Kwanini asimfungulie makampuni kuliko huu ujinga..
 
Watusi wa RPF bhana wanafanya kama alivyokua anafanya Habriymana!!!Tatizo la wanyarwanda ukabila 🤣🤣🤣Dogo anaweza kua mrithi wa babake kama Wahutu hawatompindua baba yake
 
pamoja na kwenda chuoni huyu dogo tukikutana mkono kwa mkono napiga vibaya mno hawa watu inabid wawe wanachunguza maadui kabla kuweka mlinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…