Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Hata alindwe na nani, siku yake ya mauti ikifika ataondoka tu.
Dogo ana sura ya kikauzu kama baba yake.
Dogo ana sura ya kikauzu kama baba yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samvulachole 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapi Vikindu?
Africa Africa tu
Mtu akishakuwa kuongozi rais basi nchi anaiona kama ya kwao yeye na familia yake
Ova
Nakipataje mkuu?Niko nasoma hiki kitabu,story ni za miaka ya 1800's lakini zinaonesha Africa haijabadilika,kuna mtemi walifika eneo lake akaanza kupiga ngoma na kudai apewe sanda amzike mkwe,wakampa nguo kadhaa kauliza
Hii sio dhihaka kweli ? Yani nimefiwa na mke wangu alafu mnanipa hongo ndogo hiviView attachment 2484496
Ndio,ni mtu poa saana hana makuu na mtuUmesoma nae huko Inglandi??
Including yourselfKanuni namba moja ya Askari. Usimuamini mtu yeyoye. Nakazia "Don't trust any body"
Sio mtoto wa balozi fulaniNdio,ni mtu poa saana hana makuu na mtu
Kwanza hana majivuno kabisa yaani huwezi kujua kuwa ni mtoto wa PK kwa kweli tuliishi nae vizuri saana
yule hanaga akili na maarifa ndio maana Mzee kamuacha tu alivyo but chini ya uangaliziKuna yule ambaye anaponda raha Beverly Hills, California
Bachelor II kuna kitu ningeandika humu ila ngoja niache...Nilisoma nae alikuwa ni mpole saana
Jamaa wa ikulu kanipuna hela yangu broBachelor II kuna kitu ningeandika humu ila ngoja niache...
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mkuu usimdharau usiyemfahamu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapi Vikindu?
Dogo anafikiri kila mtu humu ni mchoma mahindi[emoji3][emoji3][emoji3]of all places,why vikindu?
Watusi wa RPF bhana wanafanya kama alivyokua anafanya Habriymana!!!Tatizo la wanyarwanda ukabila 🤣🤣🤣Dogo anaweza kua mrithi wa babake kama Wahutu hawatompindua baba yakeAnaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)
Mtoto wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kwa sasa rasmi amejiunga na kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo (PSU).
Hivi karibuni (mwishoni mwa Mwaka 2022) Ian alihitimu mafunzo yake ya Kijeshi katika Chuo cha Royal Military Academy, Sandhurst, nchini Uingereza, moja ya vyuo mashuhuri vya kijeshi Duniani.
View attachment 2484407View attachment 2484408View attachment 2484410View attachment 2484411View attachment 2484412
pamoja na kwenda chuoni huyu dogo tukikutana mkono kwa mkono napiga vibaya mno hawa watu inabid wawe wanachunguza maadui kabla kuweka mlinziAnaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)