Anaitwa Queen of Darkness ndie awapae nguvu za Giza wasanii wakubwa

Mama wa watu kajivalia zake vizuri tu,
Mnamwita queen of darkness wajinga nyinyi.
Mnamjua Ruthu?ruth, zuhura,,zuchu,chura ,shushu,shishi wote wanae.
Ni walozi?
Msilete ujinga hapa.
Tulia!!!
 
Onyesha Ushahidi kwamba ni pumba
We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
 
Yaleyale manadharia yakipuuzi!
We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono, uchawi, ishara za mason ic tupu,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.Hii miziki yao wewe una gain nini cha kushape mind yako kwa mfano zaidi ya uchafu na kuua tu brain yako I think negative
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
 
Unaelewa maana ya masonic au umeshiba mamande kama mwenzio
We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono, uchawi, ishara za mason ic tupu,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.Hii miziki yao wewe una gain nini cha kushape mind yako kwa mfano zaidi ya uchafu na kuua tu brain yako I think negative
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
 
Story kama Hizi zinabamba sana kwenye vijiwe vya kahawa
We uoni kwenye tv maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono, uchawi, ishara za mason ic tupu,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.Hii miziki yao wewe una gain nini cha kushape mind yako kwa mfano zaidi ya uchafu na kuua tu brain yako I think negative
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…