Anaitwa Queen of Darkness ndie awapae nguvu za Giza wasanii wakubwa

Ijumaa Leo Ngoja Niende Masjd Kupata Ilim Huku Nikinuia Kufunga Mwezi Mtukufu
 
Sio duniani.. huko kwa wazungu...
 
Kwaiyo chuma ndo kimezaliwa mwaka 2006 au Ni nini huko🤔
 
Hizi story za kuuza nafsi .. wanauza nafsi kwa nani? Wanafanyaje hiyo trade ya kuuza nafsi?.. Tufunguke sasa tuache tu kuamini bila vithibitisho
 
Masons na illuminants hawamin mungu wala hawaamin shetani, wao ni kama atheists.

Ila satanists au church of satan wao ndo wanamuabudu shetan na wanachama wake ndo kama hao kina ye.
 
Hizi story za kuuza nafsi .. wanauza nafsi kwa nani? Wanafanyaje hiyo trade ya kuuza nafsi?.. Tufunguke sasa tuache tu kuamini bila vithibitisho
Sio kila kitu kitawekwa wazi ila jua haya mambo yapo, ndo maana tunaambiwa usiku watu wanawanga ila hatuna vithibitisho
 
Masons na illuminants hawamin mungu wala hawaamin shetani, wao ni kama atheists.

Ila satanists au church of satan wao ndo wanamuabudu shetan na wanachama wake ndo kama hao kina ye.
Lakini masonic wanatoa kafara pamoja na kafara zingine kafara yao kuu ni ushoga
 
Hizi story za kuuza nafsi .. wanauza nafsi kwa nani? Wanafanyaje hiyo trade ya kuuza nafsi?.. Tufunguke sasa tuache tu kuamini bila vithibitisho
Wanauza nafsi kwa shetani ili awape umaarufu hii ni trade agreement ya 50/50.Ipo hivi wanapewa maudhui wapromote ngono, ushoga,ulevi,usagaji,nk kupitia nyimbo zao,video, mavazi, tattoo, fashion na life staili yao check kwenye video nyimbo zao kupitia mashabiki zao wataiga kile wanachokiona kwa hawa ma agent wa shetani watapata show na pesa nyingi and then shetani unufaika nao pale jamii inapoiga wale wayaonayo.
Mkataba huu wasanii unufaika kwa kupata pesa toka kwa shetani na shetani nae ufaidika na msanii pale anaoibomoa jamii kupitia nyimbo na video zake.
 
Hapo umeeleza vizuri trade ya kutrap souls kupitia matendo maovu .. wao hawajauza nafsi ila wameamua kujiunga kwenye ufalme huo kwa benefits fulani na ni watu wa ufalme huo tayari wakiwa na nafsi zao ..

Nini maana ya Nafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…