The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
- Thread starter
-
- #81
Nafsi ni mwili wa ndani wa mtu ambao KAZI yake ni kubeba au kutunza record ya maisha yako.Hapo umeeleza vizuri trade ya kutrap souls kupitia matendo maovu .. wao hawajauza nafsi ila wameamua kujiunga kwenye ufalme huo kwa benefits fulani na ni watu wa ufalme huo tayari wakiwa na nafsi zao ..
Nini maana ya Nafsi?
Mbona umejibu kwa hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uendawazimu tu
Hata hao wanaovaa maguo
Yao wendawazimu
Ova
Mtu akili timamu anaweza kuyava hayo mangoMbona umejibu kwa hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nguo Moja namuona bwana diamond kavaa mapaja nje nje ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahMtu akili timamu anaweza kuyava hayo mango
Hao kwanza ushoga ushoga mtupu
Ova
Huyo naye wale wale ashaingia mkumbo waoKuna nguo Moja namuona bwana diamond kavaa mapaja nje nje ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
Kwaio vijiwe vya kahawa ndo sehemu zinapoongoleka pumba?? Mbona amsem pub??Story kama Hizi zinabamba sana kwenye vijiwe vya kahawa
Ni zaidi ya mavazi. Angalia nyimbo zake zimebeba maudhui gani. Mavazi yanasindikiza agenda tu,agenda yenyewe inabebwa kwenye maneno ya nyimbo.Manini hayo?
Mimi sijui na sioni nataka unithibitishie hilo maana Tanzania sisi ni mabingwa wa kutengeneza conspiracy theories sana....
Ukiwa na pesa waliofeli watakuita freemason....
Ukiwa na fame kubwa utaambiwa ni devil worshiper
Yaani kiufupi watu wanataka uishi kama wanavyo taka wao...
Kuna kipindi Nasibu alijua kwamba asilimia kubwa ya wabongo ni wajinga na wapumbavu hivyo kwa sababu naye anapenda kutrend akawa anavaa nguo nyeusi na gloves nyeusi basi kila page za udaku na watu wavivu kufikiri wanampeleka mjini utasikia ni masonic yule huoni hata mavazi yake....
Usiingie kwenye huo mtego unless uwe unaweza kuthibitisha hilo....
Tutafute life tu mkuu tuachane na haya makasiriko ya kuhisi kila ambaye ana fame, kila ambaye anafanya kazi na Fulani basi ni masonic...
Maisha sio rahisi hivyo na ukiangalia majority ambao tunakomaa sana na hizo story ni sisi watu wenye kipato cha chini kwa sababu huwa tunatumia kama execuse na sehemu ya kujifariji kwa kutokuwa na good life kama wao.
Vipi kuhusu muziki wa injili?We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
Hata huu mziki wa injili ukiutazama kwa jicho la rohoni ni ushetani,,tangu mwanzo haikuwa hivi.ndiyo maana AGANO JIPYA liko kimya juu ya mziki, kwakua lenyewe ni AGANO la rohoni Wala sii la mwili.Vipi kuhusu muziki wa injili?
Muziki ni nini?
Welcome to the club rubii.Kwa hali ya sasa hata mimi nadhani huyu bibi anaweza kuwa msaada
Hamna kitu kama hicho. You shall create your own realityMusic industry ni masonic tupu bila wao utoboi
Fafanua, kwa jicho la rohoni unauona vipi? Namaanisha vipengele vipi unauona ni ushetani?Hata huu mziki wa injili ukiutazama kwa jicho la rohoni ni ushetani,,tangu mwanzo haikuwa hivi.ndiyo maana AGANO JIPYA liko kimya juu ya mziki, kwakua lenyewe ni AGANO la rohoni Wala sii la mwili.
Nyimbo nyingi za injili za sasa anaimbiwa shetani na sio Mungu hasa kwenye haya makanisa ya wanawake sabaFafanua, kwa jicho la rohoni unauona vipi? Namaanisha vipengele vipi unauona ni ushetani?
Kwa nini kuna talanta za uimbaji? Mungu alilenga nini kutoa talanta hizo kwa wale wanaofanya muziki?