Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Hamtaki tuwe juu mnataka tuwe chini, nauliza kwanini?/

Kwetu hali sio nzuri, msosi hatuli, mnapandisha nauli!/

Hamtuonei huruma, viongozi dhuruma, nchi hii haki hakuna/

Mabomu ya machozi na maji yakuwashawasha, iko siku yatafyata/
 
Ya kwasababu ulinijibu kwa kingereza nilidhani kiswahili chako cha kuunga Unga..
I am more comfortable with English in terms of vocabulary compared to Kiswahili! Kwangu Kiswahili ni lugha ngeni kama kilivyo kiingereza. Kuna mikoa kwetu TZ kama hujaenda shule huwezi kujua Kiswawhili, kama kilivyo Kiingereza kwa wote, wewe na mimi!
 
Inawezekana roma ananyimbo nyingi kazitunza tu sto ila anaogopa kuzitoa. Kii imetoka kujibu ile nyimba ya baba lao.

Ninauhakika 100% angejifanya kuanza kutengeneza video kabla ya kutoa huu wimbo wangemteka tena. Ni kama vile kwashtukiza.
 
Bongo Flavour ilikuwa na heshima zama hizo Prof. Jay, Sugu, A.Y, Jaydee, Mwana F.A, Mike T, ..... wakifanya kazi.
Roma na wachache wanakaza kweli. Wanastahili hongera na nyimbo zao kusikilizwa.
Kwa sasa kuna wavaa hereni na make-up wanahamasisha uzinzi na ushoga tu.
Yaani kusikiliza nyimbo na mtoto ni sawa na kusikiliza matusi - yeah matusi.
Kundi kubwa la wanaoonekana mastaa wanaiga nyimbo na mitindo ya Afrika magharibi. Bongo flavor haieleweki tena
 
Acha uzwaza, fid q alikuwa zamani, ila toka aliponajisiwa na fisiemu hana lolote
Sio kosa lako ndio akili yako ilipoishia, we kutoa kauli hovyo.
Watu tulikuwa tunaongea bila kuweka kauli mbovu..

Pamoja na kusema fid fisiemu wamemmaliza unaelewa kauli ya kusema fid angekuwa ulaya angekuwa anaheshimika saana.
Hata huyo roma akiulizwa atakubali fid ni nani katika game nzima ya hip hop

Anyway kwa ulivyoropoka nadhani sihitaji kujadiliana na wewe mkuu.
 
Hivi hii nyimbo nimeielewa mwenyew au vipi jaman wadau hebu mnipe maelekezo
 
Ninyimbo namba moja kwenye playlist yangu [emoji91][emoji91] "nasikia jimbo la ubungo kuna mtu amelipania Roma hii mistari ni zaidi ya walaka wa WAEBRANIA "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…