Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Msaani wa Rapper Bongo flavour Roma mkatoliki kaachia wimbo mpya.

Naomba uusikilize tupe mtazamo wako.
 
Sikiliza audio hii.
 
Wenye lugha yao hawasemi, You don't know Kiswahili wanasema You can't Swahili.
mimi nliandika hiv: typo disregard......nikimaanisha disregard typo errors as long as the msg is home and dry! yeye akasema sijui Kiswahili! ameniacha njia panda!
 
Kwa wenzetu huko majuu fid q wangemuweka katika level ya pekee yake, historia yake katika muziki, kudumu kwake katika gemu.. Na tukubali tu fid na roma wana mistari mikali ila fid yuko hatua kadhaa mbele ya roma.
fid q alikuwa zamani, ila toka aliponajisiwa na fisiemu hana lolote
 
"....Kuku hata ukimpiga jiwe, akaumia. Ila akiukumbuka mtamu anarudi hapohapo kuula tena"
 
Wenye lugha yao hawasemi, You don't know Kiswahili wanasema You can't Swahili.
mimi nliandika hiv: typo disregard......nikimaanisha disregard typo errors as long as the msg is home and dry! yeye akasema sijui Kiswahili! ameniacha njia panda!
Ya kwasababu ulinijibu kwa kingereza nilidhani kiswahili chako cha kuunga Unga..
 
Back
Top Bottom