Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Bashite hapo hasira kama zote anatamani amteke tena.Asante Roma Mkatoliki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite hapo hasira kama zote anatamani amteke tena.Asante Roma Mkatoliki!
na kweli DAB litamteka tena!Bashite hapo hasira kama zote anatamani amteke tena.
utamteka tena? Nawe ugongwe na gari leo ufilie kwa mbali shetani mkubwa wee!Pole yako Roma, endelea kuimbishwa tu. Kitaeleweka.
Ingia google search download roma - anaitwa roma,, zitakuja link fungua ya kwanza tu itakuletea sehemu ya download, (ninge share link hapa ila nahisi ni kama jf walishakataza ku share link)Jamani mwenye wimbo anitumie nimefeli kuupata
Jasiri haachi AsiliJasiri haachi jasiri
Umeuliza 'wimbo' wa Roma sio 'nyimbo' wa RomaSijauliza free basic nimeuliza nyimbo ujifunze kuelewa
Ni ajabu sana kwamba Roma haoni chochote katika nchi yake-haoni, haoni, haoni. Ila si bure, macho anayo vizuri.
Hauna connection , hahahHuo wimbo upo wapi?
Chutama ....Nchi ina watu mambo yasio na maana ndio hupendwa Tanzania yetu tunaijenga wenyewe kwa ujinga tunabomoa kwa upuuzi. Ukiharibu ama kuponda ndio unakuwa kamanda ama ukisema uogo hapo ndio shujaa tubadilike tuipende nchi yetu ukiona michadema inafurahia jambo ujuwe ni kubomoa. Mfano mijinga kibao michadema inanyonywa na limbowe lao hawaoni wabunge wanachangia hata ofisi hakuna uchanguzi ndani ya chama hakuna imekalia kulopokea mambo wasio yaweza kufanya.et wimbo
Mirembe hata wimbo wa taifa nao hawauelewi!Wimbo wa hovyo wa mwaka. Hata haueleweki.