Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Waiting for Tshirt NAITWA ROMAAAH........................
 
Kweli mkuu, Tz ina idadi kubwa sana ya raia wa ajabu yaani ni unafiki tu.
 
Kwa wenzetu huko majuu fid q wangemuweka katika level ya pekee yake, historia yake katika muziki, kudumu kwake katika gemu.. Na tukubali tu fid na roma wana mistari mikali ila fid yuko hatua kadhaa mbele ya roma.
Sawa mkuu
 
Ni mstari au verse ipi imekukuna vilivyo kwenye wimbo wa Roma? Weka punch line yako.
 
Binafsi nnavyowaza, wimbo huu, umekuja, kwa 7bu maalumu, ya kutupotea, agenda/mawazo juu ya, uchaguzi wa serikali za mitaa, badala, yake mda si mrefu tuta anza kusikia ngonjera za Roma na makonda,Mara kapotea, Mara kakamatwa, hadi kuja kufumbuka, mwezi December, this is Tanzania ya kick za mtandaoni,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…