bichwa mtoto
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 274
- 563
watumiaji wa freebasics utawajua tu..
Roma umaarufu wake umechangiwa sana na nyimbo zake za kiharakati za kisiasa tofauti kabisa na fid Q.Kwangu mimi roma atabaki kuwa bora sana kutokana na uthubutu wake na kubeba mzigo wa kuwaongelea watu kupitia mziki wake kitu ambacho wasanii wengi wanaogopa., tena kwa aliyopitia na bado kavunja ukimya..Mungu amlinde.Daud1990,
Kwa wenzetu huko majuu fid q wangemuweka katika level ya pekee yake, historia yake katika muziki, kudumu kwake katika gemu.. Na tukubali tu fid na roma wana mistari mikali ila fid yuko hatua kadhaa mbele ya roma.
atabaki juuu zaidi sio kwamba fid sio mkali ni mtata ila kwa roma level zingine ile mathematics ile bwana ukija na hii ya kuwavuruga lumumba fc mara aliyoimba na jose mtambo kwa kweli huyu kijana anafaa kualikwa ikulu apongozweSawa mkuu, mie naheshimu mawazo yako ndugu yangu, madhari umesema ni kwako wewe roma atabaki kuwa juu,sawa chief.
Haya sawa..atabaki juuu zaidi sio kwamba fid sio mkali ni mtata ila kwa roma level zingine ile mathematics ile bwana ukija na hii ya kuwavuruga lumumba fc mara aliyoimba na jose mtambo kwa kweli huyu kijana anafaa kualikwa ikulu apongozwe
Mimi mwenyewe natumia free basic ndio maana huo wimbo hatuuoni ila upo humuSijauliza free basic nimeuliza nyimbo ujifunze kuelewa
Mkuu mimi situmii free basic na kwenye huu uzi hawakuweka hiyo nyimboMimi mwenyewe natumia free basic ndio maana huo wimbo hatuuoni ila upo humu
Noma sana!Ameanza kusahau
ROMA ana fanya miziki ya kiharakati, NGOSHA anafanya miziki ya kupanua fikra.Mistari ya Roma haichoshi kusikiliza..nashangaa sana watu wanaomsifu supa marioo Fid Q na kumshusha huyu jamaa
[emoji23][emoji23] wamefungia hili dundo teyari lakini wananchi tutazisikiliza tu.Vp BASATA a.k.a VAR hawajatoa tamko?
Mbona kila Uzi unaohusiana na wasanii lazima azungumziwe diamond? Mwacheni basi apumzike, ana mambo mengi ya kufanyaKama dimondi alivotowa babalawo kwa musimu wa wasafi festivo
Ila Roma ni jasiri sana, kina Mond, Nandy, Harminize wanasifu yeye anakosoa, Roma una heshima ya kitaaa, big upHii ngoma ina muda mfupi sana kabla ya kufungiwa
Jamaa kafunguka sana
Lamba ndimu kama una hasira sana.
We ndo msemaji wake?Mbona kila Uzi unaohusiana na wasanii lazima azungumziwe diamond? Mwacheni basi apumzike, ana mambo mengi ya kufanya
Yaani wewe uliyeishia darasa la nne S unanirekebisha mimi mwenye Degree 5 na kufundisha vyuo mbalimbali hapa BagamoyoMbona kila Uzi unaohusiana na wasanii lazima azungumziwe diamond? Mwacheni basi apumzike, ana mambo mengi ya kufanya
Hizi punch lines za Roma tulizimis sana.Ila Roma ni jasiri sana, kina Mond, Nandy, Harminize wanasifu yeye anakosoa, Roma una heshima ya kitaaa, big up
Mkuu ni wimbo sio nyimbo maana unazungumziwa mmoja tuu kama una bando andika jina la wimbo na la maanii kisha mp3 zitakuja link za kutoaha kisha utaupakuà ila mimi sina bando Leo ningeuweka humuMkuu mimi situmii free basic na kwenye huu uzi hawakuweka hiyo nyimbo