Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Mistari ya Roma haichoshi kusikiliza..nashangaa sana watu wanaomsifu supa marioo Fid Q na kumshusha huyu jamaa
Kila mtu na mtazamo wake, Francesc Fabregas alikuwa mchezaji mzuri mnoo kwenye ubora wake lakini bado Xavi na Iniesta walikuwa mbele yake, xavi kuwa bora haimaanishi fabregas kuwa mbovu.

Roma ni mwanahipop mkali ana ngoma kali, na mistari mikali, anajua jinsi ya kucheza na maneno, hakuna mtu atakaetokea na kukwambia roma ni msanii mbovu, ila ukweli ni kuwa super marioo Fid Q atabaki kuwa Fid Q.
 
Namkubali Fid ila kwa Roma aiseeee jamaa anajua sana
 
Duhu kwao ni huko zimbabwe au hii Tanzania ya madreamliner ??? Kama ni Tz ametuwakilisha vyema...atleast mkuu atasikia kile kweli wananchi wanachokitaka nasio sifa za uongo na zakiuwoga za hao wateule wake
Nadiriki kusema Roma amethubutu sana. Kesho asubuhi Bashite anaweza akatoa tamko
 
Jamaa kweli anaitwa Roma,,,ngoja haichoshi kuisikiliza
 
Ameamua kuvunja ukimya, sidhani kama kuna kununuliwa hapo. Tumuombee maana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…