Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Roma ni shida nyingine mzee roma anajua kucheza na meneno zaidi ya fid, sema fid alianza zamani zaidi ya roma ilo hatukatai ila ROMA kimuziki usimfananishe na uyo jamaa
Kwa wenzetu huko majuu fid q wangemuweka katika level ya pekee yake, historia yake katika muziki, kudumu kwake katika gemu.. Na tukubali tu fid na roma wana mistari mikali ila fid yuko hatua kadhaa mbele ya roma.
 
Tena kafunguka wazi sana
Kang'ata na Kupuliza.

Kuna mistari anamchana Mtukufu,

Kuna mistari anamsifu mtukufu kwa mibarabara na flyover na ukusanyaji mkubwa wa mapato.

Kuna mistari anamchana msanii mwenzake wa hiphop Mwamba wa Northern kwamba anabebwa na ile radio ya watu.

Kuna sehemu anawaponda wana wa nchi kwa kujua mabaya ila hawachukui hatua (hawakumsapoti Dada wa Marekani na wanajua aliyemteua Roma ila wanamkaushia hawamshutaki)

Kuna mistari kumponda mtoto w
Mpendwa wa Mfalme,

Anamsifia Yakobo (Baba) ila ananiponda kwa kumpendelea mtoto mpendwa (Daudi)

Kuna mistari anaponda biashara_dini, wahubiri wanaohubiri kutoa shaka tu wakati watu waliowazunguka (wapiga vibanda na wapiga picha) kanisani hawaguswi na "miujiza ya Mchungaji huyo!

Mwisho ANAJILIPUA kwa kujitoa muhanga kwa kuwasemea wanawanchi ambao ni "waoga" kukosoa!
 
Kwenye hii ngoma amechana vibaya sana roma. Kuna watu leo watalala na presha.

"Viongozi hawana maarifa, wanafanya kazi kwa sifa" -Roma

"Chama kilishawatimua wanasiasa mlio wanunua, yani mnapiga bomu mochwari halafu mnajisifu mmeua" - Roma

"2020 si tumuombe mungu, wewe na mimi, na wote wasaka tonge wataorudi kwenye viti" - Roma

#Mwimbo-Wa-Taifa
 
Mimi nimependa mstari unasema.
Kutekana kuuana sio sifa ya mtanzania
Roma Mkatoliki amerudi upya jamani.
Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma".

Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua.

Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema;
"Kwetu bima ya afya ni bora kuliko ndege"
 
Roma ni shida nyingine mzee roma anajua kucheza na meneno zaidi ya fid, sema fid alianza zamani zaidi ya roma ilo hatukatai ila ROMA kimuziki usimfananishe na uyo jamaa
Duh!! Haya.
 
Back
Top Bottom