Unaweza kulipua nyuklia dunia ikapona? Kama siyo propaganda za kitoto utaita nini? Yaani kuwe na nyuklia halafu uishambulie kisha useme dunia iko salama. Kiukweli watu wamekua wajinga sana wa kufikiriKulipua hayo manyuklia ni ushindi kwa Dunia, kukalisha Iran na kuteka anga lake pia ni ushindi mkubwa maana waislamu wote magaidi wameachwa mayatima, wameoana kubwa lao lililokua linawapa jeuri halina lolote, lilipigwa na kufutiwa uongozi wote.
Yaani Israel imetuheshimisha nimepata amani sana siku hizi, historia iliandikwa upya.
Kuuawa kwa viongozi sio deal make wameshateuliwa wengine na maisha yanaendelea!!Kulipua hayo manyuklia ni ushindi kwa Dunia, kukalisha Iran na kuteka anga lake pia ni ushindi mkubwa maana waislamu wote magaidi wameachwa mayatima, wameoana kubwa lao lililokua linawapa jeuri halina lolote, lilipigwa na kufutiwa uongozi wote.
Yaani Israel imetuheshimisha nimepata amani sana siku hizi, historia iliandikwa upya.
Kwa mtazamo wangu; vita ameshinda Iran kwakua ilikua 2 against 1. Lakin kama angepambana Israel mwenyewe against Iran pia ningesema mshindi ni Iran.
View: https://www.youtube.com/watch?v=SqJvJ4Yv8Xw
Kila Mmoja ameshinda kivyake ila faida amepata Israel malengo yote 100%
Iran kwake kupona kwa Ayatollah na kuendelea kutawala Iran ni Ushindi kwake 100%
unapingana na TRUMP kwamba israeli imepigika haswa
View: https://www.youtube.com/watch?v=SqJvJ4Yv8Xw
Kila Mmoja ameshinda kivyake ila faida amepata Israel malengo yote 100%
Iran kwake kupona kwa Ayatollah na kuendelea kutawala Iran ni Ushindi kwake 100%
Hata mimi najiuliza hivi hivi.. iweje ushambulie vinu vya nyuklia alafu dunia ikae salama kama si matango pori ya poli ya marekani na dada yake IsraelUnaweza kulipua nyuklia dunia ikapona? Kama siyo propaganda za kitoto utaita nini? Yaani kuwe na nyuklia halafu uishambulie kisha useme dunia iko salama. Kiukweli watu wamekua wajinga sana wa kufikiri
Waeza toa idadi ya hizo sehemu zilizopigika haswa? Maana sijaona hata ghorofa lililoanguka chini zaidi ya moja upande wa vibaraza . Idadi ya Vigo no 27+1 ambaye alikufa kwa mshtuko tu. Wayne walikufa day 12 after muds WA kusitisha vita.unapingana na TRUMP kwamba israeli imepigika haswa
mfano leo imefichuka millitary base tano za myahudi zilichezea kichapo heavy zile siku 12Waeza toa idadi ya hizo sehemu zilizopigika haswa? Maana sijaona hata ghorofa lililoanguka chini zaidi ya moja upande wa vibaraza . Idadi ya Vigo no 27+1 ambaye alikufa kwa mshtuko tu. Wayne walikufa day 12 after muds WA kusitisha vita.
Trump hiyo hiyo kipenzi chako kasema iran imepigwa na kumsema Ayatollah no mtu muongo sana kapigwa na vifo vimemzunguka. And israel wanaipiga kwa uhodari iran Kola target Kea Shabana it's amazing.
Wenzio wanalilia fidia
Sio kufichuka Israel hanaga mambo ya kuficha after hatari ikiisha, Walisema wakati wa vita raia waache kurecord record and Missile nyyingi zimepiga open area, na Jeshi la Israel wanasema impact kwenye kambi za jeshi ni ndogo.mfano leo imefichuka millitary base tano za myahudi zilichezea kichapo heavy zile siku 12