Analysis ya body language: Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga

Analysis ya body language: Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga

Aaah wapi. Hana mapenzi yoyote yale. Zaidi tu anatamani sana atufunge ili aongee na kutugambia. Anapaniaga sana mwishowe anagongwa. Siku akatufunga itakua taabu sana
 
Mechi imeisha YANGA 3___AZAM2 FEI TOTO anatabasam tu na washikaji wake kina AUCHO kama vile yeye hayo matokeo hayamhusu. DOGO alijichanganya sana kuhusu like sakata lake na INJINIA.
Wazenji wana kibri sana aisee. Sana sana sana. Ma fei alikia akijazwa ujinga na watu wasiojua hata sheria za mpira
 
Aaah wapi. Hana mapenzi yoyote yale. Zaidi tu anatamani sana atufunge ili aongee na kutugambia. Anapaniaga sana mwishowe anagongwa. Siku akatufunga itakua taabu sana
Tatizo ni kwamba watanzania wengi hatujui kusoma body language
 
LIKUD unaona sasa Promo yangu imeufikisha huu Uzi wako uliokuwa UNAKUDODEA Ukurasa wa Pili sasa. Hongera ila nasubiria UNISHUKURU kwani kuonekana kwa hii ID yangu ya GENTAMYCINE kumewaita Wengi na watakuja Wengi kwakuwa mwenye NYOTA YAKE KALI hapa JamiiForums nimeuchangia na Kuunogesha.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Leo na Wewe umeanzisha Uzi JamiiForums? Nahisi uwepo wa Mvua Kubwa nchini.

Jamani msiache Kuuchangia huu Uzi ili usije Ukamdodea bure na akajiona hathaminiwi nanyi.

Haya LIKUD nimeshakupigia Promo huu Uzi wako na Watu wakishaona tu hii ID yangu ya GENTAMYCINE imechangia watafurika hivyo usiache tu Kunishukuru na Kunipongeza sawa?

Watu tuna Nyota zetu Kali sana duniani.
😀😂😀😂
 
Once mwananchi always mwananchi. Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa anajipigisha fyongo ili mradi asilete madhara kwenye klabu yake hiyo ya Zamani.

kwa watu wanao jua kusoma body language/ body gestures ( body movement) za mtu na ambao walimtazama Feisal kwenye mechi ya jana, wanaweza kukubaliana nami pasi na shaka yoyote ile kwamba Feisal bado ana mapenzi makubwa na Yanga.

# usikute jana dogo alienda kushangilia chooni
Feisal anaipenda Yanga mpaka kesho kikwazo chake ni Hersi tu.
 
LIKUD unaona sasa Promo yangu imeufikisha huu Uzi wako uliokuwa UNAKUDODEA Ukurasa wa Pili sasa. Hongera ila nasubiria UNISHUKURU kwani kuonekana kwa hii ID yangu ya GENTAMYCINE kumewaita Wengi na watakuja Wengi kwakuwa mwenye NYOTA YAKE KALI hapa JamiiForums nimeuchangia na Kuunogesha.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
[emoji23][emoji23] wewe jamaa umeshindikana
 
Leo na Wewe umeanzisha Uzi JamiiForums? Nahisi uwepo wa Mvua Kubwa nchini.

Jamani msiache Kuuchangia huu Uzi ili usije Ukamdodea bure na akajiona hathaminiwi nanyi.

Haya LIKUD nimeshakupigia Promo huu Uzi wako na Watu wakishaona tu hii ID yangu ya GENTAMYCINE imechangia watafurika hivyo usiache tu Kunishukuru na Kunipongeza sawa?

Watu tuna Nyota zetu Kali sana duniani.
Halafu ameiga uzi wako wa jana kuhusu unafiki wa Fei 😆😆
 
Once mwananchi always mwananchi.

Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa anajipigisha fyongo ili mradi asilete madhara kwenye klabu yake hiyo ya Zamani.

kwa watu wanao jua kusoma body language/ body gestures ( body movement) za mtu na ambao walimtazama Feisal kwenye mechi ya jana, wanaweza kukubaliana nami pasi na shaka yoyote ile kwamba Feisal bado ana mapenzi makubwa na Yanga.

# usikute jana dogo alienda kushangilia chooni
Tanzania Hakuna kazi rahisi kama uchambuzi.
Kuna Wachambuzi weupe, weusi wekundu, kijani na blue.
Kuna Wachambuzi walevi, wavutaji, walambaji na wabwiaji.
Feisal Jana ndiyo siku pekee tangu atoke Yanga kacheza Kwa angalau 70% ya uwezo wake. Moja Kati ya vitu anavyoviota Feisal ni kuifunga Yanga ili waonekane walikosea lakini bado bahati haijawa upande wake. Yuko tayari asiifunge Simba maana haitakuwa habari kama kuifunga Yanga. Magoli aliyokosa hayakuwa Wazi kama waliyokosa Max na Pacome, hao nao walijikosesha ili iweje?
Tabia ya kichonganisha watu ni uchawi. Hiki unachojatibu kufanya hapa ni ushirikina.
 
Mechi imeisha YANGA 3___AZAM2 FEI TOTO anatabasam tu na washikaji wake kina AUCHO kama vile yeye hayo matokeo hayamhusu. DOGO alijichanganya sana kuhusu like sakata lake na INJINIA.
Kwa hiyo mlitaka Feisal amninie Aucho Mtu aliyekuwa rafiki yake No.2 baada ya Mayele? Mnaloga mchana nyie.
 
Back
Top Bottom