Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Is it normal mwanaume unakataa kumtolea mwanamke mahari mkuu??
Nimekupata. Kusema kwamba ni normal kweli ni uongo, its very abnormal. Ila sasa turudi kwenye main point, kutoa huko mahari kunakufanya vipi uwe mwanaume zaidi au upungue uanaume? Kwakuangalia, jamaa ameishi na binti vizuri kwamuda na wala wazazi wake hawajui binti yao anaishi vipi wala hawakujali na mpaka mimba katoa, na mpaka binti still anamtaka jamaa hivyo inamaana anatimiza majukumu yake vizuri kiuchumi kihihisia na kitandani. Sasa nieleweshwe kidogo, kitu kipi ndani ya mahari itafanya awe zaidi ya mwanaume alivyoapo?
 
Kila tamaduni zina utaratibu wake mkuu, kuna wale binti ndio anasema anachotaka, kuna wale wazazi ndio wanakubaliana kiwango cha mahari.

Tusiwafunge watu na tamaduni zao.
 
Wewe olewa kwa kutolewa mahari. Sikukatazi. Nyie Elimu haijawasaidia maana umaskini wetu mnataka kuupunguza kupitia mbususu zenu? Halafu mnakuja zungumzia mfumo dume ila pesa mnataka mpewe kwa sababu mna mbususu? Fanyeni kazi msijiuze.
 
Kwa staili hii Ukimuoa Figo yake moja ikafeli utaweza kutoa 30m wampandikizie Figo nyingine??.!
Ni kweli sitaweza kutoa 30m kumlipia, hilo ni kweli. Kwako kama kutoa mahari kubwa ndio kipimo cha kuweza kunhudumia, rudi nyuma ufikirie tena, ndoa ni lifetime commitment, kuna nyakati zote ndani ya ndoa. Ukiendelea kuwaza kitoto namna hiyo ndoa haikufai.
 
Million 6 ya nyoko
 
Mimi nimetoka kwenye mti? Nani anampa mahari mzazi wangu kuniandaa toka nikiwa mchanga mpaka nimekuja kuonek nayeye
 
Hata wapumbavu hufikisha miaka 50 kwenye ndoa. Achana na hiyo yako michache ya kibwege. Wewe toa mahari mimi sitoi kila mtu anaishi maisha yake.
 
Hujielewi, na kwa izi akili zako hustahili kuishi na mwanamke.

Kama hutaki kutoa mahari jiandae kuwa Upinde au kaoe mzaramo mahari unapeleka ata msaafu tu.

Man up.!!
Hujielewi, na kwa izi akili zsko hustahili kuishi na mwanaume.

Kama unataka kutolewa mahari jiandae kuwa changudoa au olewa na bill gate familia yenu yote iolewe.
 
Mkuu usinitoe kwenye msitari, Naomba tustick tu kwenye kipengele cha mahari otherwise naomba unijibu ili swali..

Mwanaume kupaka make up, kupaka Kucha rangi, kutoboa pua na kuweka hereni sikioni kunafanya vipi sifa yake ya uanaume ipungue au iongezeke???

and then kwa tamaduni zetu za kiafrika unajua maana ya mahari au ni kwanini almost jamii zetu zote za kibantu mwanamke anapotaka kuolewa lazima mwanaume atoe mahari??

mtoa mada ni kwamba hataki kabisa kutoa mahari kinyume kabisa na taratibu zetu za kimila na desturi na sioni ajabu kutamkiwa kiasi kikubwa cha mahari kwa kuwa hamna kiwango specific cha kulipa mahari kwa jamii yoyote ile ulimwenguni maana iyo inakuwa determined na factors nyingi sana ambazo hata wewe unazijua.

Btw ulitaka mtoa mada aambiwe mahari elfu 50 au?
 
Mahari inapaswa kutajwa na anayeolewa sio anayeozesha. Huyo baba yake ndio ataolewa? Huu utaratibu ni wa Kipumbavu.
Acha ujinga, Kuna Mila, tamaduni na desturi tofauti Kwa kila pahala. Usituletee Mila za kiarabu harafu utake kila mtu azifuate.
 
A lifetime commitment halafu mahari tu inakushinda.

Kama hayo ndo mawazo yako ya kikubwa its better you sleep
 
Kwa hiyo unadhani kutoa 10m kwa ajili ya mahari kunakupa guarantee ya kuweza kutoa huduma in 30yrs ya ndoa?

Kwanza una ndoa au nazungumza na kitoto kipo likizo?
Lala mkuu maana sikuelewi

acha niendelee kujisomea
 
Unajua ninani aliyeanza kutoka nje ya mada, siunajua ni wewe! Mimi nimekueleza majukumu halisi ya mwanaume ndani ya familia na ndiyo kinachomfanya awe mwanaume, au nimekosea. Kuleta mambo ya ushoga umeleta wewe wala sijasema kuhusu sijui wazungu na kuwaiga, hao ni wao. Mimi nataka hicho kipengele cha kumconvince mtoa mada atoe mahari kwakuwa ndio uwanaume, unauhakika huo ndio uanaume. Maana ninamifano hai ya dada zangu waliotolewa mahari na wakazalishwa ila mpaka leo hawajaolewa na mbaya zaidi majukumu ya baba anayafanya yeye kwakuwa mwanaume anaona mwanamke anaajira hivyo majukumu ya kulea mtoto kayasahau kabisa na ndoa kama haipo kabisa. By the way, mimi sijasema asitoe mahari, mimi nataka unionyeshe huo uanaume unaopatikana kwakutoa mahari.
Pili tambua utamaduni wa mahari siyo factor ya kuwa mwanaume kamili maana kunatamaduni zinazomfanya mwanamke awe mwanamke ila zimeachwa nanyingine zimefumbiwa macho, mojawapo jamaa kazitaja. Je, huyo mwanaume anamtolea mahari mtu ambaye siyo mwanamke? Tumdisqualify na huyo mwanamke maana hana vigezo pia, unakataa hapo au ndio hukumu kwa mwanaume tu ila mwanamke mtakatifu. Maana lengo lako unataka tamaduni zizingatiwe au vipi chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…