Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Bas unajiona mwamba kulisema neno upinde kwny kila post yako au sio,matusi meng hayakufany uonekane dume kamili mzee ndo ushoga wenyewe huo,badilika, kutukana ovyo wanafanya wanawake ambao wako mwezini
Tafuta hela uache kunipotezea muda kijana
 
Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.

Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.

Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.

Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.

Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4

Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.

Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.

Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.

Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Kwenye dini yetu, Waislamu suala la mahari ndilo linaifanya ndoa ikubalike na ndio maana pale kwenye kipengere wanasema ... Kwa mahari mliyokubaliana.

Lazima mahari ya binti itolewe kulingana na mlivyokubaliana
 
Tafuta pesa ili uweze kuelewa milioni 6 ni heshma na upendo. Ukishazipata utajua upendo ni kutoa
Unalialia na milioni 6 unavyowaza kuitoa maisha yako yote utaweza kununua diapers na maziwa wewe🙄🙄
Binafsi naona swala sio mil 6. Siwezi kulipa kitu kwa mlinganisho na wa wengine
It's me, you and your family habari za wengine wanamuona hivi maanaake hata maisha yetu yataongozwa na maono ya wengine......hell no
 
Hivi unadhani wewe ungekuwa na hela kama Mo ungepewa mahari wewe ungifanyia nini kama ni shukrani ya heshima?

Mahali hupokea familia duni na watu maskini, Nina dada lakini najiuliza ikitokea anaolewa hiyo maari itanisaidia nini au heshima ipi unayoisema nitaipa

Kumbe hujui cha kuifanyia mahari!? Sasa kaa ujuzwe ndio urudi kutoa hoja

Mahari ni shukrani tena jamii nyingi wanapokea mahari kwa style ya kualika ndugu, jamaa, ukoo, majirani na marafiki Kula na kunywa pamoja wakifurahia kumlea binti yao, kuwatambua mume anayenda kumuoa na familia wanaompokea na kumuaga

Sasa wewe endelea kukalia milioni 6 ni pesa nyingi. Tafuteni pesaaaa
 
Kwa hiyo unadhani kutoa 10m kwa ajili ya mahari kunakupa guarantee ya kuweza kutoa huduma in 30yrs ya ndoa?

Kwanza una ndoa au nazungumza na kitoto kipo likizo?
Huyu jamaa bado yuko kwao na amekua shuhuda wa dada zake zaidi ya watano wakiolewa,nadhan ndo experience ya maisha aliyonayo kwny maisha,alivyoona M5 zinatolewa kwa dada zake akaona maisha rahisi sijui alitamani na yeye awe wa kike aongeze mtaji kwa wazazi wake
 
yote kwa yote mahari ya mil 6 ndefu hela haiokotwi aisee

Kwahiyo mke ndio anaokotwa😆😆😆

Kumbe hujui mahari ni nini wala kwanini mahari!? Sasa kaa ujuzwe ndio urudi kutoa hoja

Mahari ni shukrani tena jamii nyingi wanapokea mahari kwa style ya kualika ndugu, jamaa, ukoo, majirani na marafiki Kula na kunywa pamoja wakifurahia kumlea binti yao, kuwatambua mume anayenda kumuoa na familia wanaompokea na kumuaga binti

Sasa wewe endelea kukalia milioni 6 ni pesa nyingi. Tafuteni pesaaaa
 
Tafuta pesa ili uweze kuelewa milioni 6 ni heshma na upendo. Ukishazipata utajua upendo ni kutoa
Unalialia na milioni 6 unavyowaza kuitoa maisha yako yote utaweza kununua diapers na maziwa wewe🙄🙄
We utakua na mimba ya miez nane bila shaka, you sound like you're possessed madam
 
Mmmmmh!?!? Eeheehe! Mmmh!? hiki ulichoandika atakuelewa mtu aliye jengwa kiakili katika miaka ya 80's na wachache katika nyakati hizi walahi vile tena ukizingatia hivyo viwango vya mahali vyenyewe, maana navyoona inaitajika Imani tu kuamini kwamba nikilipa mahaliali basi inaonesha naweza kummuda mke na watoto

Mahari ni shukrani ya heshma inayomjengea muoaji heshma, pamoja na muolewaji na jamii yake
Kama huna mahari na unatakiwa kutoa mahari tafuta mahari ndio utafute kuoa. Huo ndio uanaume!
 
We utakua na mimba ya miez nane bila shaka, you sound like you're possessed madam

Kwani kuwa na mimba ni tatizo😂😂😂😂 dah hii maada inatusaidia kujua tulivyo na wavulana wengi kuliko wanaume🙄🙄🙄
 
Nasema hivii :Huna lolote! It's either hauna hela kama unavojigamba,au wewe ni mbinafsi sana!Mnajidai mmesoma halafu elimu yenu haiwasaidii kufit kwenye jamii[emoji15]Angekuwa dada yako ungekuwa unapayuka hivyo?Mahali zilikuwepo ,zipo na zitaendelea kutolewa.Kama nyie wasomi mavi mnadhani hazina umuhimu hameni kwenye jamii zenu,mhamie pengine mkaaanzishe jamii mpya na msitoze mahali watoto wenu watakapozaliwa.Lakini as long as mnaishi kwenye makabila hayahaya ya Tz,mahali mtatoa,au mpoteze heshima.Mkwe ambaye hajatoa mahali si mkwe.NAKUULIZA,kwa ubinafsi huo utaweza kutunza familia?Hovyo

Hii nchi ina wavulana wengi kuliko wanaume. Mabinti wawe makini sana
 
Ishu ya mahali Huwa ni formality tu ili kuleta statasi tu kwenye jamii Sasa na ilivyo harusi,haimanishi bila harusi hamuwezi ishi,lengo ni kuipa thamani suala Hilo.
Mahari Huwa haikimbiwi,mnabargain unatanguliza uwezacho zingine kidogo kidogo hata ukipta wajukuu unamalizia
 
Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.

Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.

Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.

Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.

Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4

Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.

Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.

Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.

Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Kwa hiyo anajiuza?
Halafu hizi habari za mahali ni ushenzi tu. Wote waaliokua wanamfukunyua hawakuwahi kulipa mahali, halafu mtu anayekuja kwa good will ndiye analipishwa mahali, kwamba mahali ni adhabu kwa muoaji.
Wanapokua na mabint zao wanashindwa kuwasimamia katika maadili ili wajiheshimu, akitokea muoaji wanakua viimbelembele, wa kutaja mahali utadhani bint yao alijitunza.
Unakuta hadi wazazi wa single maza eti nao wanadai mahali.

Jamii inatakiwa ku review huu utaratibu, haupo sawa kabisa.
 
Sawa ngoja niendelee kuzitafuta nikipata M5 takuja kukuoa km dada zako walivyoolewa,wazazi wako wasije kukubagua kwakua utakua umetolewa mahari ndg,endelea kunisubir sawa Miss
Kwa izo fikra zako utachelewa sana kuzipata labda uache kubanduliwa
 
Nasema hivii :Huna lolote! It's either hauna hela kama unavojigamba,au wewe ni mbinafsi sana!Mnajidai mmesoma halafu elimu yenu haiwasaidii kufit kwenye jamii[emoji15]Angekuwa dada yako ungekuwa unapayuka hivyo?Mahali zilikuwepo ,zipo na zitaendelea kutolewa.Kama nyie wasomi mavi mnadhani hazina umuhimu hameni kwenye jamii zenu,mhamie pengine mkaaanzishe jamii mpya na msitoze mahali watoto wenu watakapozaliwa.Lakini as long as mnaishi kwenye makabila hayahaya ya Tz,mahali mtatoa,au mpoteze heshima.Mkwe ambaye hajatoa mahali si mkwe.NAKUULIZA,kwa ubinafsi huo utaweza kutunza familia?Hovyo
Huyo jamaa na wanaomsapoti wote ni machoko
 
6m sio hela ya kutisha kutoa mahari? Humu jf kuna watu matajiri sana dah!
Ndio 6M kwakuwa mahari hailipwi yote kwa mara moja unaweza kukubali mahari ya 6M lakini ukaoa na kuishi na mkeo hata miaka 50 na hiyo mahari haijaisha na hakuna kesi mahakamani wala kanisani/msikitini.
Jiamini kijana wangu.
 
Back
Top Bottom