Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Mafala huwa hawakosekan, oa kwa milion sita mwanamke aligongwaaa na wenzio countlesa na elf 50 😂😂
Kugongwa mbona kitu Cha kawaida sana braza. Hata unayemwita mama yako wewe Kuna watu kibao wanaweza kuwa walimgonga kabla hajaolewa na father yako na inawezekana Bado wanaendelea kumgonga Hadi sasa kama Bado YUPO hai. Na after all unapotafuta mke lengo huwa ni zaidi ya issue za kugonga.
 
Mafala huwa hawakosekan, oa kwa milion sita mwanamke aligongwaaa na wenzio countlesa na elf 50 😂😂
Halafu mbona kama 6mil unaziona kama nyiiiingi sana mpaka utoe mitusi Kwa watu usiowafahamu? Kuna watu ambao wewe huwazidi Kwa lolote na wanatoa zaidi ya 6mil Ili kupata mke na tena bila malalamiko yoyote.
 
Kwangu mimi ni nyiingi sanaaa, niwe tu mkweli. Na kama nimekutukana waona, nikuombe radhi sana mkuu wangu, nisamehe.
Hakuna mahali nimeonyesha kumzid mtu yoyote kwa lolote. Hizo ni hisia zako tu za kujilinganisha
 
Oa Kwa laki 2 labda usiende ukweni na hasa kama ni Kanda ya Ziwa.
Nakubali. Mim siwezi toa milion 6, nafikiri mdio maana watu huwachukulia wake zao kama bidhaa zao maana kila akimzingua anaona kabisa milion 6 yangu mwenyewe inanizungua anachukua shaba anapiga vyuma 😂😂
 
Of course mahari kubwa inapunguza idadi ya wanaojifanya kuoa Kwa lengo la kuchojwa chojwa halafu kesho anasepa. Huku kwetu uwe muislam, mkiristo, au usiyeamini Dini za kimapokea mahari lazima ujikamue.

Sasa unaona hili ni jambo jema?? Kuwakomoa vijana wasioe??
 
Sasa unaona hili ni jambo jema?? Kuwakomoa vijana wasioe??
Hakuna tatizo lolote sababu wewe Ukiwa na watoto wa kiume na WA kike ujuwe wazi kwamba kama Binti yako yuko kwenye standard inayotakiwa utapata 6mil na kijana wako naye akitaka mke standard utalipa 6mil pia (standard ni perceptions za jamii husika).
 
Kwahiyo haoa mpaka sasa nina mil 18 na nitatoa 6 zibaki 12
 
Oa Kwa laki 2 labda usiende ukweni na hasa kama ni Kanda ya Ziwa.
Sasa mimi kutoa laki mbili ukweni wanakasirika nini?? Hizo ni tamaa tu mkuu, hiyo milion 6 si bora uache mtoto wako na mume wake wakaanze maisha. Mnajipangia pangia tu as if nyinyi ndo mnaolewa ebo!
 
Imagine unaolewa na mwanaume wa hivi
Wanaume wa hivi ndo unakuta anasimulia kijiwen maungo na maungio ya mkewe na style wanazofanya.
Takwimu za ke kuwa wengi dhidi ya me ukute zimeongezwa na kasi ya me kuhamia kwa ke, kijinsia!
 
Wewe oa mwanamke unayeweza kumuoa kwa mahari na matunzo.

Ukikutana na mahari ukaiona ni kubwa usilalamike wala kukasirika.....tafuta saizi ya uwezo
Mahari kubwa lakini unachokipata ni kilekile kama cha kwa mwanamke mwingine
 
Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.

Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.

Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.

Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.

Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4

Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.

Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.

Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.

Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Sasa mbona unafoka
 
Brother, marrying a non virgin is the highest fraud against men in the 21st century.

Why should an innocent man pay in full for what another man open for free? It's not a fair play. A woman is no longer a virgin doesn't deserve to have a bride price.

In the ancient virginity is one of the first criteria for marrying any woman. During those days the standard was rigid. No virgin, no bride price.

This days women no longer care, they are not concerned, sexual purity is no problem for them, they know that after open legs nation wide, they will still find a man who will pay their bride price in full.

Mother's are no longer interested in the chastity of their daughters. Virginity is downplayed in the Society because men are now willing to accommodate such compromise.

As a man know that body counts matters, and also her past, judge a women harshly by her body count and past before committing to them at least this will give some ladies sense to frown at promiscuousness.

Men needs to protest and stop paying bride price in full for any woman who is no longer a virgin because it's wickedness for a man to pay in full for what he did not open.

Some ladies who are communities whores, still thinks they are entitled to full bride price payment. Some families who knows that their daughters are Chief prostitute still expect an innocent man to pay heavily on her head, what a wicked world for men.

She's no longer a virgin but her bride price lists can feed two communities, this is totaly bullshit.

Men must awake, before you start arranging paying full bride price for any woman, consider if she worth it, judge her by her past, her body counts, attitude, submission etc, they higher the damages, the more reason you need to abort mission.

Sorry for using english unajua nikishakua na serengeti lager kadhaa kichwani nasahau kabisa kiswahili.
Laki5 yako wewe
Wapo wa elfu50 na wapo wa milioni5
 
Back
Top Bottom