Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Bas unajiona mwamba kulisema neno upinde kwny kila post yako au sio,matusi meng hayakufany uonekane dume kamili mzee ndo ushoga wenyewe huo,badilika, kutukana ovyo wanafanya wanawake ambao wako mwezini
Tafuta hela uache kunipotezea muda kijana
 
Kwenye dini yetu, Waislamu suala la mahari ndilo linaifanya ndoa ikubalike na ndio maana pale kwenye kipengere wanasema ... Kwa mahari mliyokubaliana.


Lazima mahari ya binti itolewe kulingana na mlivyokubaliana
 
Tafuta pesa ili uweze kuelewa milioni 6 ni heshma na upendo. Ukishazipata utajua upendo ni kutoa
Unalialia na milioni 6 unavyowaza kuitoa maisha yako yote utaweza kununua diapers na maziwa wewe🙄🙄
Binafsi naona swala sio mil 6. Siwezi kulipa kitu kwa mlinganisho na wa wengine
It's me, you and your family habari za wengine wanamuona hivi maanaake hata maisha yetu yataongozwa na maono ya wengine......hell no
 

Kumbe hujui cha kuifanyia mahari!? Sasa kaa ujuzwe ndio urudi kutoa hoja

Mahari ni shukrani tena jamii nyingi wanapokea mahari kwa style ya kualika ndugu, jamaa, ukoo, majirani na marafiki Kula na kunywa pamoja wakifurahia kumlea binti yao, kuwatambua mume anayenda kumuoa na familia wanaompokea na kumuaga

Sasa wewe endelea kukalia milioni 6 ni pesa nyingi. Tafuteni pesaaaa
 
Kwa hiyo unadhani kutoa 10m kwa ajili ya mahari kunakupa guarantee ya kuweza kutoa huduma in 30yrs ya ndoa?

Kwanza una ndoa au nazungumza na kitoto kipo likizo?
Huyu jamaa bado yuko kwao na amekua shuhuda wa dada zake zaidi ya watano wakiolewa,nadhan ndo experience ya maisha aliyonayo kwny maisha,alivyoona M5 zinatolewa kwa dada zake akaona maisha rahisi sijui alitamani na yeye awe wa kike aongeze mtaji kwa wazazi wake
 
yote kwa yote mahari ya mil 6 ndefu hela haiokotwi aisee

Kwahiyo mke ndio anaokotwa😆😆😆

Kumbe hujui mahari ni nini wala kwanini mahari!? Sasa kaa ujuzwe ndio urudi kutoa hoja

Mahari ni shukrani tena jamii nyingi wanapokea mahari kwa style ya kualika ndugu, jamaa, ukoo, majirani na marafiki Kula na kunywa pamoja wakifurahia kumlea binti yao, kuwatambua mume anayenda kumuoa na familia wanaompokea na kumuaga binti

Sasa wewe endelea kukalia milioni 6 ni pesa nyingi. Tafuteni pesaaaa
 
Tafuta pesa ili uweze kuelewa milioni 6 ni heshma na upendo. Ukishazipata utajua upendo ni kutoa
Unalialia na milioni 6 unavyowaza kuitoa maisha yako yote utaweza kununua diapers na maziwa wewe🙄🙄
We utakua na mimba ya miez nane bila shaka, you sound like you're possessed madam
 

Mahari ni shukrani ya heshma inayomjengea muoaji heshma, pamoja na muolewaji na jamii yake
Kama huna mahari na unatakiwa kutoa mahari tafuta mahari ndio utafute kuoa. Huo ndio uanaume!
 
We utakua na mimba ya miez nane bila shaka, you sound like you're possessed madam

Kwani kuwa na mimba ni tatizo😂😂😂😂 dah hii maada inatusaidia kujua tulivyo na wavulana wengi kuliko wanaume🙄🙄🙄
 

Hii nchi ina wavulana wengi kuliko wanaume. Mabinti wawe makini sana
 
Ishu ya mahali Huwa ni formality tu ili kuleta statasi tu kwenye jamii Sasa na ilivyo harusi,haimanishi bila harusi hamuwezi ishi,lengo ni kuipa thamani suala Hilo.
Mahari Huwa haikimbiwi,mnabargain unatanguliza uwezacho zingine kidogo kidogo hata ukipta wajukuu unamalizia
 
Kwa hiyo anajiuza?
Halafu hizi habari za mahali ni ushenzi tu. Wote waaliokua wanamfukunyua hawakuwahi kulipa mahali, halafu mtu anayekuja kwa good will ndiye analipishwa mahali, kwamba mahali ni adhabu kwa muoaji.
Wanapokua na mabint zao wanashindwa kuwasimamia katika maadili ili wajiheshimu, akitokea muoaji wanakua viimbelembele, wa kutaja mahali utadhani bint yao alijitunza.
Unakuta hadi wazazi wa single maza eti nao wanadai mahali.

Jamii inatakiwa ku review huu utaratibu, haupo sawa kabisa.
 
Sawa ngoja niendelee kuzitafuta nikipata M5 takuja kukuoa km dada zako walivyoolewa,wazazi wako wasije kukubagua kwakua utakua umetolewa mahari ndg,endelea kunisubir sawa Miss
Kwa izo fikra zako utachelewa sana kuzipata labda uache kubanduliwa
 
Huyo jamaa na wanaomsapoti wote ni machoko
 
6m sio hela ya kutisha kutoa mahari? Humu jf kuna watu matajiri sana dah!
Ndio 6M kwakuwa mahari hailipwi yote kwa mara moja unaweza kukubali mahari ya 6M lakini ukaoa na kuishi na mkeo hata miaka 50 na hiyo mahari haijaisha na hakuna kesi mahakamani wala kanisani/msikitini.
Jiamini kijana wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…