Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mahari anataja baba kwani anaolewa yeye? Mfyuuuuu,
Naenda kugalagazwa mie halafu mahari wale wengine,[emoji23]
Ni uhuni tuu na Mila za kishenzi.
Kumuuza Binti yako sio uungwana.
Unataka Mahari Kwa vigezo vipi?
Kama ulimlea Binti yako hata huyo kijana alilelewa na Wazazi wake,
Binti ndio ataje Mahari, Kwa sababu yeye ndiye muolewaji, yeye ndiye MKE mtarajiwa na ndiye mwenye uhitaji wa kuolewa.
Mzazi anataka Mahari Kwa misingi ipi?