Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Mahari anataja baba kwani anaolewa yeye? Mfyuuuuu,

Naenda kugalagazwa mie halafu mahari wale wengine,[emoji23]

Ni uhuni tuu na Mila za kishenzi.
Kumuuza Binti yako sio uungwana.
Unataka Mahari Kwa vigezo vipi?
Kama ulimlea Binti yako hata huyo kijana alilelewa na Wazazi wake,
Binti ndio ataje Mahari, Kwa sababu yeye ndiye muolewaji, yeye ndiye MKE mtarajiwa na ndiye mwenye uhitaji wa kuolewa.
Mzazi anataka Mahari Kwa misingi ipi?
 
Aloo jamaa uko sahihi, kuna miamba ilijipigia bure, ikaoa kwa muda wa wiki au miezi huko chuoni bila hata kutoa senti ila zigo lije kukuangukia wewe unaeoa sasa hivi kwa kufuata taratibu.

6 mil zote hizo kwa mwanamke aliepigwa kila aina ya pipe, hata mimi sitoi.
 
Kwan si amejieleza vizuri kbs kwamba Yuko tayari binti akaolewe huko anakoona wako tayari na conditions za familia,halafu Nani kakudanganya kwamba mahali kubwa ndo kipimo cha kuonyesha mwanamme Yuko tayaru kumudu majukumu! Kikubwa jamaa he is standing on his principal kwamba anampenda kweli binti lkn she is the one to decide!
 
Nami nimewahi oa bure kwa miaka miwili chuo. Sikulipa chochote tulipanga Changanyikeni miaka miwili. Halafu kuna mtu kwa mwanamke huyo anaenda lipishwa mahari
 
Umesema vyema. Wanawake wapumbavu wanajifanya kumpima mwanamke kwenye pesa. Mimi nlishakataa na kumpa ruhusa kama anaona sifai aende tu. Tusije sumbuana baadaye
 
Unasikiliza maneno yake au ya baba mkwe?
Baba mkwe mtarajiwa Mme-negotiate tayari?
Mimi sina cha ku negotiate naye. Msimamo wangu ni kuwa sitoi mahari. Binti nadhani ndo aliongea na familia yake. So nimemwambia mapema kuwa asitegemee mimi kwenda kutoa mahari kwao. Sina huo utaratibu. Nitachukua mwanamke qmbqye yupo tayari aje tuishi sote.
 
Muache au kalipe mahari acha kulia lia kuwa atakupa nini, kwani wewe umempa nini mpaka sasa?. Wenzako wanaowapaga ujauzito wanaita kupitia dirishani ndo wanakuwa na kiburi cha kupanga mahari.
Nilishampa mimba mara mbili akatoa. Sina wasiwasi. Na nlishamwambia aondoke kama anaona bila mahari hawezi kuishi nami. Hajaondoka.
 
Lipa mahari uchukue mke
Hiyo unayotaka wewe itakuja kukutesa
Kama hujalipa mahari kimira na desturi watoto ni Mali ya kikeni na huna sauti.
Je, utakubali?

Watoto sio Mali ya yeyote.
Hakuna MTU anayemiliki MTU mwingine kwenye huu Ulimwengu.

Watoto wakikua wanaweza hata Kubadili majina yenu mliyowapa na ni Haki Yao. Na hamtakuwa na chakuwafanya.

Kuhusu swala la Mila na desturi hizo ni Hadithi za kizamani.
Kwani ni Mila ngapi zimevunjwa, kuoa tuu MTU wa kabila jingine kimla na desturi hairuhusiwi.
Kimila Mwanamke anarithiwa mumewe akifa, Hilo siku hizi halifanyiki.
Kimila Mwanaume anauwezo wa kuoa Wakw wengi, awaulize Huko ukweni ikiwa wao wanafuata Mila watakubali Wewe umuongezee wake wengine Binti Yao? Alafu usikilizie.
 

Wewe una kajeuri flani hivi mkuu, usipokua makini hutaowa wala kuishi na mke yeyote, ulipaswa kuliongelea kifamilia na sio kumwanika humu,, je! Unajuaje kama si member wa jamiiforum huyo binti!!! Aleyommba gekke mami kuwa makini!
 
Sihitaji watu waje kunipangia utaratibu wangu. Namchambua ndiyo sababu sioni sababu ya kutoa hiyo mahari. Mfano wewe mwanaume mwenye akili aje akutolee mahari iweje? NAKATAA KUTOA MAHARI, NAKATAA KUHONGA.
 
Lipa mahari uchukue mke
Hiyo unayotaka wewe itakuja kukutesa
Kama hujalipa mahari kimira na desturi watoto ni Mali ya kikeni na huna sauti.
Je, utakubali?
Mali yao walimwingizia yeye tumboni?
 
Fala wewe fanya kazi, tafuta pesa, huyo mwanamke kwa atakayokuja kukufanyia maishani ni zaidi ya mara milioni moja ya hako ka mahali kako.
 
Sihitaji watu waje kunipangia utaratibu wangu. Namchambua ndiyo sababu sioni sababu ya kutoa hiyo mahari. Mfano wewe mwanaume mwenye akili aje akutolee mahari iweje? NAKATAA KUTOA MAHARI, NAKATAA KUHONGA.
Wewe ni tahira.
 
Kwenye hii Dunia ya Sasa,mzazi kutaja mahari zaidi ya milioni ni kama unataka mwanao azalie nyumbani.

Kuna wazazi Wana tamaa kiasi kwamba anamwona mwanae wa kike Kama bidhaa ya thamani itakayogombaniwa sokoni Kisha auze kwa Bei mbaya.
Mahari haijawahi kuwa tatizo. Tatizo ni vijana hawafati mila na desturi.

Jukumu la mjadala wa mahari linafanywa na wazee utakaowaomba wakapeleke ujumbe na wewe unakuwa umeshawaambia nafasi yako wao ndo wanaenda kuzungumza wakiwa na mshenga mzoefu halafu ww unapewa tu taarifa ni nini cha kufanya.

Mbona watu wanatajiwa ng'ombe 15 wenye thamani ya milioni kila mmoja na wanakubali unatoa ng'ombe mmoja anaambiwa utamalizia wengine huko mbele na familia inaanzishwa kwa harusi?

Kuna koo wanataja mahari kubwa ili ikitokea umemnyanyasa binti yao wanakuambia hata mahari ilikushinda hivyo hata chumba chake hapa kwao kipo bado, turudishie binti yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…