Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa na AMANI ya kweli kama viongozi na wananchi tutazingatia kusema UKWELI. Utamaduni wa kusema UONGO umeharibu nchi yetu Kuteka, kuuwa au kuwabambikia kesi wanaosema ukweli kumevuruga amani ya nchi yetu.
Pia soma: Amani Iliyofichwa na Ukimya wa hofu si ya kweli
Pia soma: Amani Iliyofichwa na Ukimya wa hofu si ya kweli