''Muijue Kweli na hiyo kweli itawaweka huru'' Kuna mengi kwenye kauli hii yakifafanuliwa ni kurasa zaidi ya mia. Mleta mada amegusia kitone kilichopo katika hii kauli.
Nje ya mada ila ndani ya kauli mabano, Nilitegemea Mwiguru angetembelea 77 leo kama kawaida yao