Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Si kawaida hata kidogo.. Njaa ikikuuma anadhani utaenda kuponea wapi? Walau angekuachia hata mapajani tu kwa nyuma au chini ya kiuno kwa nyuma
Dah... Mshana Jr anyway ndio ukubwa huu inabidi nijifunze mengi.[emoji18][emoji38]
 
Ukiona unanyimwa ujue kuna mwenzio kaka anapewa
 
Mdomo ulikua unanicheza, yani nisingeandika kifua kingenibana, kilikua kishaanza kubana ikabidi nilegeze bra..... [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
Msije badili huu uzi kama ule wa b.. da..
 
We nawe acha ubwege, hauna mchepuko?
Ni muda wa mchepuko kula mpini, acha kujibania ,au bahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…