Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Mbona hamueleweki.. mkizungushwa kupewa sex mnasema tukuwapa mnakula na kusepa tukiwapa mapema napo maharage ya mbeya….

Kwaiyo nilipaswa kumnyima sex ama
Siyo kumnyima sex tu, ni kumnyima na kumtukana, hata achukie tayari chati yako ishapanda.

Lakini kama anakupenda nd'oangerudi kwa adabu na kuanza kukubembeleza akupose.

Ngoja nikwambie, mwanamme wa malengo huwa 'hapewi' mpaka atapotimiza lengo lake.

'Toa' kwingine lakini mwiko kumpa papa mwenye malengo na wewe, ndiyo atatia juhudi kukufuatilia kwa karibu na kuharakisha mipango yake ili akipate na kukiona unachoringia na kumnyanyasia.

Lakini ukijirahisi tu, tayari unaishusha thamani yako, anakuweka kwenye orodha ya ufuska na kushusha 'muhu' wa malengo na wewe, maana chenye thamani pekee kinachowafanya hata majemedari wapiganishe vita mataifa, wewe umemgawia kirahisi bure bure bila jasho.

hakuna mwanamme anapenda mwanamke wa kushika tu mkono na kuvutia chumbani kwake bila kikwazo wala pingamizi.

Kila mwanamme anapenda kumiliki mwanamke mgumu na mwenye msimamo.
 
Asante
 
Hapa
Ni wewe unamtumia na kumharibu kijana wa watu.
Ni wewe unampotezea muda wake.
 
Anakutumia. Ila sio mbaya na wewe mtumie tumie kupunguza nja huku ukijisort.
 
Wewe unataka nini sasa? Hivi point ya mahusiano ni nini besides sex? I see nothing wrong with that.
 
Hakutaki unalazimisha nini au mpaka utungiwe wimbo?
 
Jiamini bibie, usikae ukawaza una sura mbaya au shape mbaya, mwanamke kuringa
 
Ukipewa bure na unatoa bure ni sawa. Mapenzi yako kwake na yeye kwako yapo sawa tu tatzo kuna mambo unataka yaende kwa haraka sana. Hapo ukute unataka ndoa na mwamba ana kusoma kwanza
 
Ukipewa bure na unatoa bure ni sawa. Mapenzi yako kwake na yeye kwako yapo sawa tu tatzo kuna mambo unataka yaende kwa haraka sana. Hapo ukute unataka ndoa na mwamba ana kusoma kwanza
Sitaki ndoa natka anijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…