Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 309
- 579
Unadhani hakutaka kwenda kusoma afya labda???....do you think hakua na goal ya kusoma afya kabla???Ipo siku utatukumbuka humu, mwambie akasome afya,
Mimi mdogo wangu alikuwa anapenda kusomea BWANA AFYA nikampiga stop aache huo ujinga .akaenda kusoma radiology na sasa Yupo mwaka wa mwisho degree muhas ameanza kupiga pesa huku anasoma.
Brother nachokielewa Mimi iyo course watu wanafanikiwa through researches and wanapga pesa kulko hata huyo mdgo wako wa radiology......I have a lot of people naowajua from that field and wanamake pesa nyingiUsimpe moyo , yaani asote miaka 3 akisomea dagaa na vyura ili aje achimbe mabwawa ya samaki ?
Especially saivi ambapo Dunia inatazama bahari as an alternative source of resources baada ya kuoveruse land resources......Brother nachokielewa Mimi iyo course watu wanafanikiwa through researches and wanapga pesa kulko hata huyo mdgo wako wa radiology......I have a lot of people naowajua from that field and wanamake pesa nyingi
Sahihi umeona mbaliPlus tunakoelekea Dunia itaanza kuutilize resources baharin(so wataalam wa aquaculture ni muhimu) BLUE ECONOMY is the future
Exactly
Atakuja kukumbuka ushauri wako hakiwa too lateDah yaan dogo kila nikiliambia toka asubuhi halielewi nmegoogle iyo ishu kumbe n potensho wanang kuna mpk mashirika yanasimamia uharibifu wa mazingira maeneo ya majini lazima uwe umesoma iyo kozi aisee n kweli iko vxur ila bhas mwache akabadili anasema bora akasomee unurse