Anaomba msaada wa hii kozi tafadhali

Anaomba msaada wa hii kozi tafadhali

Ipo siku utatukumbuka humu, mwambie akasome afya,

Mimi mdogo wangu alikuwa anapenda kusomea BWANA AFYA nikampiga stop aache huo ujinga .akaenda kusoma radiology na sasa Yupo mwaka wa mwisho degree muhas ameanza kupiga pesa huku anasoma.
Unadhani hakutaka kwenda kusoma afya labda???....do you think hakua na goal ya kusoma afya kabla???
Watto wamefaulu and it's obvious competetion ni kubwa.....perhaps amekuja outcompeted that's why kafika kwenye course nyingn
 
Brother nachokielewa Mimi iyo course watu wanafanikiwa through researches and wanapga pesa kulko hata huyo mdgo wako wa radiology......I have a lot of people naowajua from that field and wanamake pesa nyingi
Especially saivi ambapo Dunia inatazama bahari as an alternative source of resources baada ya kuoveruse land resources......
 
Wazee kuna watu mnatema madini sema watu hawajui tu ukicheki kiuhalisia dunia inavyoenda inabid usome kitu chenye tija me nmewaelewa sn na nmefikisha ujumbe vzuri sn
 
Dah yaan dogo kila nikiliambia toka asubuhi halielewi nmegoogle iyo ishu kumbe n potensho wanang kuna mpk mashirika yanasimamia uharibifu wa mazingira maeneo ya majini lazima uwe umesoma iyo kozi aisee n kweli iko vxur ila bhas mwache akabadili anasema bora akasomee unurse
Atakuja kukumbuka ushauri wako hakiwa too late
 
Back
Top Bottom