Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 309
- 579
Unadhani hakutaka kwenda kusoma afya labda???....do you think hakua na goal ya kusoma afya kabla???Ipo siku utatukumbuka humu, mwambie akasome afya,
Mimi mdogo wangu alikuwa anapenda kusomea BWANA AFYA nikampiga stop aache huo ujinga .akaenda kusoma radiology na sasa Yupo mwaka wa mwisho degree muhas ameanza kupiga pesa huku anasoma.
Watto wamefaulu and it's obvious competetion ni kubwa.....perhaps amekuja outcompeted that's why kafika kwenye course nyingn