Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

Niliwahi kumtongoza wakati huo binti mmoja yupo Muleba pale Kagera akaniletea nyodo nikaachana naye nikamla rafiki yake, ajabu yake yule aliyenitosa akanuna nikamkaushia na mawasiliano nikakata.

Miaka kadhaa mbeleni yule yule aliyenitosa akanitafuta kwa njia ya simu, baada ya salamu na maongezi marefu akaniomba nimtumie hela amepungukiwa katika maandalizi ya send off yake kama laki na sabini hivi anatarajia kufunga ndoa.

Nilicheka sana nikakata simu. Baada ya kunidadisi kulikoni nilimjibu kwa kifupi tu, mwambie huyo unayempa qumma akuchangie. Hakuwahi kunipigia wala kunitafuta tena
 
Mkuu usicheke,

ahahaha,toa ushauri nimtumie na ya kutolea au
Mimi nashauri msaidie, kwani mkiachana ndio msisaidiene tena jaman? hasa kwenye matatizo makubwa namna hii? acheni hizo bhana hebu mtumie na ya kutolea kabisa au umtumie kwenye bank account yake inakuwa cheap kidogo

Mimi siwezi achana na mtu niwe na huo moyo wako,,,unless kuna kitu hujatueleza hapa

Teh teh
 
Kama ameolewa kwann asiongee na Jamaa ake aisee???

Sisi wanaume najua tunajikuta tunatuma tu ani ili tusionekane mambo hayajakaa sawa kimfuko[emoji23]

Kikubwa hapo fanya unayo hiyo 80k fasta rudi home nenda kampe mke 50k hiyo 30k chukua mazaga ya nyumbani nenda nayo home enjoy diko tamu na wife maisha yaendelee

Huyo hana maajabu yoyote kwako aisee zaidi sana atakutia hasara maana hapo moyoni anajisifu sponsor wake umerudi Kwenye 18 zake
 
Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko.
Unasubiri nn kumtukana? Si ana mume sasa kivipi anaenda kuomba msaada kwako??? ila nadhani ana sababu ndomaana kakuomba ww maana kama zamani alikuwa anakula tuu hela zako na hakukubalii ombi lako basi anajua kwako zipo tu za bwerereeeee kwahyo mzee toa 85K zitamtosha na ya kutolea hapo si unajua makato ya uchumi wa kati yameongezeka?
 
Mtumie tu, tena tuma 100k akikujibu imefika mblock kabisa
Ahahaha, huo Ni ujinga kabisa,
wamenichekesha Moderator unaweza ukaleta kisa ambacho wewe kimekukuta,na ukaandika heading kuendena na tukio,Ila wao bila kukushirikisha wanabadili heading kibabe 😂
 
Back
Top Bottom