kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 882
- 1,262
- Thread starter
- #41
Ah! Wap, hapo bado ujajumlisha na Kodi ya uzalendo, itafika Laki 😜Unasubiri nn kumtukana? Si ana mume sasa kivipi anaenda kuomba msaada kwako??? ila nadhani ana sababu ndomaana kakuomba ww maana kama zamani alikuwa anakula tuu hela zako na hakukubalii ombi lako basi anajua kwako zipo tu za bwerereeeee kwahyo mzee toa 85K zitamtosha na ya kutolea hapo si unajua makato ya uchumi wa kati yameongezeka?