Ah! Wap, hapo bado ujajumlisha na Kodi ya uzalendo, itafika Laki 😜Unasubiri nn kumtukana? Si ana mume sasa kivipi anaenda kuomba msaada kwako??? ila nadhani ana sababu ndomaana kakuomba ww maana kama zamani alikuwa anakula tuu hela zako na hakukubalii ombi lako basi anajua kwako zipo tu za bwerereeeee kwahyo mzee toa 85K zitamtosha na ya kutolea hapo si unajua makato ya uchumi wa kati yameongezeka?
😂Sasa mkuu si utakuwa uzezeta kumtumia pesa mtu ambae miaka hiyo amenichunaa hata penzi lake sijapewa , zaidi ya miaka kumi hatujaonana,na keshaolewa,Leo nimpe kiasi hiko Cha pesa,Mimi nashauri msaidie, kwani mkiachana ndio msisaidiene tena jaman? hasa kwenye matatizo makubwa namna hii? acheni hizo bhana hebu mtumie na ya kutolea kabisa au umtumie kwenye bank account yake inakuwa cheap kidogo
Mimi siwezi achana na mtu niwe na huo moyo wako,,,unless kuna kitu hujatueleza hapa
Teh teh
Hujachunwa bhana ulitoa kwa upendo wako tu,,,kusaidia mtu ni thawabu kwa Mungu,,,fanya kama unatoa sadaka😂Sasa mkuu si utakuwa uzezeta kumtumia pesa mtu ambae miaka hiyo amenichunaa hata penzi lake sijapewa , zaidi ya miaka kumi hatujaonana,na keshaolewa,Leo nimpe kiasi hiko Cha pesa,
Hiyo wanaweza watani zangu wasukuma kwakweli, mimi siwezi kuchunwa tena,
😂😂😂😂mwamba ajikamue tuuAh! Wap, hapo bado ujajumlisha na Kodi ya uzalendo, itafika Laki 😜
Alikuona kiazi sanaKuna boya mmoja we just met on IG tukawa marafiki kaanza vibomu vya hapa na pale......
Sometimes ananiomba nimwazime 200k akachukue mzigo k/koo atanirefund nikawa nampa ila sijawahi kurudishiwa[emoji847][emoji847][emoji847]
Maisha yakaendelea bhana, yule 'she' alikuwa amezalishwa na jamaa na katelekezwa na ktk kuchat niliona kabisa mwamba was right kumuacha maana demu Yuko too aggressive akitaka jambo lake.....
Story inaanza yule sikuwahi kuwaza ningeomba game despite of vibomu vyake na nilimwambia kabisa Mimi nina mke
Sasa kitu kilichonifanya nibadili uamuzi ni too much demands zake mara nimlipie kodi,hadi mwanae nikamkatia bima ya afya and at the end tukipanga meeting anachomoa
Mwisho wa siku nikaamua nimpotezee tu akipiga simu sipokei na text sijibu ikawa imeisha ivo
Ww ni MUJINGAKuna boya mmoja we just met on IG tukawa marafiki kaanza vibomu vya hapa na pale......
Sometimes ananiomba nimwazime 200k akachukue mzigo k/koo atanirefund nikawa nampa ila sijawahi kurudishiwa[emoji847][emoji847][emoji847]
Maisha yakaendelea bhana, yule 'she' alikuwa amezalishwa na jamaa na katelekezwa na ktk kuchat niliona kabisa mwamba was right kumuacha maana demu Yuko too aggressive akitaka jambo lake.....
Story inaanza yule sikuwahi kuwaza ningeomba game despite of vibomu vyake na nilimwambia kabisa Mimi nina mke
Sasa kitu kilichonifanya nibadili uamuzi ni too much demands zake mara nimlipie kodi,hadi mwanae nikamkatia bima ya afya and at the end tukipanga meeting anachomoa
Mwisho wa siku nikaamua nimpotezee tu akipiga simu sipokei na text sijibu ikawa imeisha ivo
Mtumie chap hiyo hela, kisha mblock.Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko.
Usimpe hata mia!Hapana, nna hasira nae hajui tu, ni vile tu kipindi kile hela ilikuwa yakuchezea, nami umri ulikuwa wa ujana ujana, nilikuwa sijali kitu,
Mwambie nataka kuja msibani nakuletea hukohuko ,nipe ramani nafikajeKuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko.
Mmmh alipata wapi ujasiri wa kupokea ofa zote hizoKwa mazingira ya makuzi yake, kwa umri wa miaka 21 alikuwa Kama mtoto tu, mazingira ya watu wa dini
Point kubwa hapa ni sponsor kurud kwenye 18 zake afu sponsor mwenyewe anavimba kichwa utashangaa hata bibie hana msibaKama ameolewa kwann asiongee na Jamaa ake aisee???
Sisi wanaume najua tunajikuta tunatuma tu ani ili tusionekane mambo hayajakaa sawa kimfuko[emoji23]
Kikubwa hapo fanya unayo hiyo 80k fasta rudi home nenda kampe mke 50k hiyo 30k chukua mazaga ya nyumbani nenda nayo home enjoy diko tamu na wife maisha yaendelee
Huyo hana maajabu yoyote kwako aisee zaidi sana atakutia hasara maana hapo moyoni anajisifu sponsor wake umerudi Kwenye 18 zake