Anaomba Sana Hela, sasa Leo nimemchana

Anaomba Sana Hela, sasa Leo nimemchana

Sio kwamba da happy anajielewa, ila yeye yupo sokoni na jamaa amepanic. Ndio maana da happy anacheka baada ya kusoma gazeti la mwamba.
Mwamba (mtoa mada) amefeli jambo moja tu, kama mwanamke anakuomba hela na unaona hakuna haja ya kumpa unapiga kimya na si kuandika paragraph ndefu.

Umejua mwanamke anauza ukienda kubali kununua hata kwa bargain, ukishindwa ondoka ki-jentromeni😂😂
 
Attachments

  • IMG_20241224_125802.jpg
    IMG_20241224_125802.jpg
    46.2 KB · Views: 3
Mwamba (mtoa mada) amefeli jambo moja tu, kama mwanamke anakuomba hela na unaona hakuna haja ya kumpa unapiga kimya na si kuandika paragraph ndefu.

Umejua mwanamke anauza ukienda kubali kununua hata kwa bargain, ukishindwa ondoka ki-jentromeni😂😂
Sahihi kabisa mkuu,
Hii tabia ya kuandika magazeti nilikuwa nayo pia, badae nikagundua ninavyoandika sana, ananichukulia poa na ndezi sana.

Jamaa angeenda simple tu, naomba...Kwa leo sina, naomba 20k...unatuma 10k na kukaa kimya. Hivyo yani.
 
Takwimu zinaonyesha msimu huu wa sikukuu kuanzia tarehe 21 Dec- 15 Jan mahusiano mengi huvunjika kwa kasi,

Maneno haya sio mageni kipindi hiki 👇🏻

Babe huku nlipo network inasumbua nsipopatikana ujue ni mtandao
Babe nko na wageni ntumie sms
Babe kichwa kinauma naomba nlale
Babe nlikua mbali na simu
Babe hii period ya mwezi huu kiboko
N.k
 
Back
Top Bottom